Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

Huko Congo Leo wametangaza kuweka ma RC na ma DC kwenye sehemu walizoteka nchi mpya ya Kitutsi inazaliwa
Mlio dharau waliosema Hima Empire inakuja haya hiyo hapo
Kuna sehem huko Minembwe tayari hâta VIONGOZI wanatipoti kwa Kagame
 
Mbona hata Watanzania wana roho mbaya au haya matukio ya Njombe sio ya roho mbaya watu wanakata mtu vipande vipande tena mtu mmoja wengine wanaua watoto huko unataka kuongea kama tupo smart wakati tuna matukio ya hovyo kama wao huko Mtwara pana vima waliua dogo ana madini yake na pesa yake wakampa kesi ya mwizi wa boda boda au haya matukio unaona ni sawa kwa sababu ni Watanzania..
Sijasema nayaona sawa hayo matukio
Unanilisha maneno tu
Sisi kwa sisi ndio wabaya zaidi na hili kila leo nalikemea
Kijana mdogo kaiba yeboyebo anachoma moto huku wananchi wakishangilia
Kuna siku nilimuokoa dogo walikuwa wamuuwe ila nilisimama na kukataa auwawe wakaita polisi ndio wakamchukua
Hao wa SA wanauwa wakuja ila sisi tunauwana bila sababu za msingi

Sikubaliani na mauwaji na sijasema hakuna kabisa
 
Akili za kijinga hizi wakati Kenya na Rwanda wanafungua mipaka waafrika waingie kusaidia uchumi wa nchi zao kuendelea anatokea mtanzania mmoja mwenye upeo mdogo kama wewe.
 
Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania.

Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao. Lakini Leo hii Watusi wamepenya mpaka ikulu na Siri za nchi ya Congo ziko uchi mpaka Sasa.

Watanzania WA mikoa ya katika na ile yenye majirani wazuri, Huwa wakiambiwa ubaaya wa Watusi, wanadhani kuwa ni chuki za waha au wahangaza dhini ya majirani zao watusi.

Tanzania inatakwimu ya kupokea au kutoa uraia kwa wakimbizi wengi na idadi kubwa zaidi ni Kabila la Wahutu zaidi ya Watusi wachache.

Jambo la kujiuliza, ni kwanini Wahutu huchangamana vizuri na Makabila ya Tanzania na kuwa wamoja tofauti na Watusi. Watusi wamebaki na Miata aka Yao na kujitenga ingawa huwezi kujua kama haufuatilii. Mfano watusi wakiwa katika ngazi flani lazima atapenyeza watusi wenzie. Watusi akiwa naishi Tanzania basi lazima atakua na nyumba kwa Rwanda. Mtusi akiwa na Biashara yake basi lazima ataajiri Watusi wenzie.

Hawa watu wanakua na mikutano yao na agenda zao ambao wanazisimamia kimkakati. Mikakati ya hao watu huwezi kurithishwa vizazi mpaka vizazi.

Pale utakapoanza kumuona Mtusi kama ndugu yako na kujisahau , hapo ndipo kosa.

Sasa wameanza kutaka watambuliwe Kipekee hapa Tanzania.

Kwanini Wahutu walio wengi hawajawahi kuota KUTAMBULIWA lakini Watusi WANATAKA KUTAMBULIWA, Wana agenda Gani miaka ijayo?

Wakishatambuliwa watadai ardhi Yao ya asili itambulike, itakua eneo Gani la Tanzania?

Huko Congo walipokelewa na kuishi kwa miaka mingi, walianza vuguvugu la kutaka kutambulika kama hivi wanavyoanza Sasa hapa Tanzania.

Hawa watu sio wakufumbia macho. Kunatakiwa kuwa na Kitengo maalum Cha kuwachunguza watu wenye asili ya Rwanda hasa watusi.
Wanaoa kwao tu. VIP 3.5 Alirudi kuoa kwao.
 
Nimewasoma kwenye ntandao, wikipedia wanasema wengi wamechanganya na Wahutu. Wana vinasaba na watu wa Somalia.

Hawapendi watu wafupi na wenye pua pana, wasiharibu mbegu yao.
Ni kabila la kikushi lenye asili kutokea Ethiopia, waliingia ardhi ya Rwanda kama wafugaji na baadae wakalitwaa hilo eneo dhidi ya wahutu na watwa. Wabelgiji walipofika waliikuta hali hiyo hiyo na kutokana na physique yao ya urefu, uso mwembamba na pua ndefu, wakawaona wao wapo karibu zaidi na uzungu kuliko wabantu

Hivyo, waliwaweka kuwa superior ethnic group kwa hapo Rwanda na Burundi ndio maana mtusi ni mtu anaejihisi superior sana na huwa hachanganyi damu kirahisi na wabantu kwa kuwaona inferior.

Kuhusu kuingia Tanzania, wameanza hata kabla ya mipaka kuchorwa na mkoloni, ndio maana ukifuatilia mila, mavazi na hata baadhi ya falme za zamani haswa muleba, Ngara na Karagwe utakuta wapo waliotokea Rwanda. Kwa hiyo interaction ya Watusi, wahutu na wahaya si kitu cha leo wala jana
 
Tanzania ina matatizo yake mengi tu,ila linapokuja swala la usalama kitaifa hahahaha! Hakuna nchi yoyote jirani inayoweza kuisumbua Tanzania,hata hao watutsi wenyewe wanaelewa hilo,na wanaojielewa wameishachoka utawala wa Kagame,kama hamuamini ngoja siku wajaribu,mtajionea!
 
Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania.

Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao. Lakini Leo hii Watusi wamepenya mpaka ikulu na Siri za nchi ya Congo ziko uchi mpaka Sasa.

Watanzania WA mikoa ya katika na ile yenye majirani wazuri, Huwa wakiambiwa ubaaya wa Watusi, wanadhani kuwa ni chuki za waha au wahangaza dhini ya majirani zao watusi.

Tanzania inatakwimu ya kupokea au kutoa uraia kwa wakimbizi wengi na idadi kubwa zaidi ni Kabila la Wahutu zaidi ya Watusi wachache.

Jambo la kujiuliza, ni kwanini Wahutu huchangamana vizuri na Makabila ya Tanzania na kuwa wamoja tofauti na Watusi. Watusi wamebaki na Miata aka Yao na kujitenga ingawa huwezi kujua kama haufuatilii. Mfano watusi wakiwa katika ngazi flani lazima atapenyeza watusi wenzie. Watusi akiwa naishi Tanzania basi lazima atakua na nyumba kwa Rwanda. Mtusi akiwa na Biashara yake basi lazima ataajiri Watusi wenzie.

Hawa watu wanakua na mikutano yao na agenda zao ambao wanazisimamia kimkakati. Mikakati ya hao watu huwezi kurithishwa vizazi mpaka vizazi.

Pale utakapoanza kumuona Mtusi kama ndugu yako na kujisahau , hapo ndipo kosa.

Sasa wameanza kutaka watambuliwe Kipekee hapa Tanzania.

Kwanini Wahutu walio wengi hawajawahi kuota KUTAMBULIWA lakini Watusi WANATAKA KUTAMBULIWA, Wana agenda Gani miaka ijayo?

Wakishatambuliwa watadai ardhi Yao ya asili itambulike, itakua eneo Gani la Tanzania?

Huko Congo walipokelewa na kuishi kwa miaka mingi, walianza vuguvugu la kutaka kutambulika kama hivi wanavyoanza Sasa hapa Tanzania.

Hawa watu sio wakufumbia macho. Kunatakiwa kuwa na Kitengo maalum Cha kuwachunguza watu wenye asili ya Rwanda hasa watusi.
Hao wajomba zangu was kinyambo,wahangaza,n.k hawana shida zaidi ya kujisifia sana na kujiona special sana kuliko wengine ndio tabia zao hawana shida kihivyo!

Mi huwa nawcheka TU,SEMA wanapenda kusoma sana na very strategic kwenye mambo ya msingi hawana shida!!

Cha kuepusha no roho ya kagame tu,tuunde katiba nzuri yenye usawa hata akitawala mzungu hakuna Cha kuhofia!tuna hofu coz ya katiba za hovyo tulizo nazo!!

Katiba ikiandikwa vizuri hasta ukimleta mseven Hana uwezo was kufanya lolote akivunja katiba analiwa kichwa TU hasa akitaka kung'ang'ania madaraka anapigwa Shaba na body guard wake bas!!
 
Wapo watu ambao ni watusi na wahihamia hapa Tanzania kabla ya uhuru,kimsingi wapo watusi WATanzania,huu ni ukweli ambao hatuwezi kuupinga.
Utaambiwa warudi kwao hata kama walikuja kabla ya ukoloni, ukishakuwa na pua ndefu na uso mwembamba bhaaasi rudi kwenu na maelezo hayatakiwi
 
Dunia ya Sasa mnaulizana utaifa? Dubai 95% ya workforce ni wagen na mambo yanaenda
Daah sasa Dubai utafananisha na huku kule rangi tu unajua huyu sio mwenzetu na pia Dubai wageni ni kazi ngumu sio sehemu za maamuzi kama kwetu ukitaka ujue Utaifa una nguvu nenda tu hapo Lusaka harafu usiwe na documents ujue kitakachotokea ni Bongo tu ambayo wageni wanazurula bila vibali..
 
Sijasema nayaona sawa hayo matukio
Unanilisha maneno tu
Sisi kwa sisi ndio wabaya zaidi na hili kila leo nalikemea
Kijana mdogo kaiba yeboyebo anachoma moto huku wananchi wakishangilia
Kuna siku nilimuokoa dogo walikuwa wamuuwe ila nilisimama na kukataa auwawe wakaita polisi ndio wakamchukua
Hao wa SA wanauwa wakuja ila sisi tunauwana bila sababu za msingi

Sikubaliani na mauwaji na sijasema hakuna kabisa
Wote wana roho mbaya wawe Watanzania au Wasauzi wote nimeishi nao nawajua vizuri sihitaji kusimuliwa...
 
Daah sasa Dubai utafananisha na huku kule rangi tu unajua huyu sio mwenzetu na pia Dubai wageni ni kazi ngumu sio sehemu za maamuzi kama kwetu ukitaka ujue Utaifa una nguvu nenda tu hapo Lusaka harafu usiwe na documents ujue kitakachotokea ni Bongo tu ambayo wageni wanazurula bila vibali..
Shida askari watu Wana njaa sana ya ela, wanachukua sana ela kwa wageni
 
Back
Top Bottom