Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

Watatokea vipi Rwanda na unasema mipaka ilikuwa haijachorwa?

Hiyo route uliyoitaja si ndiyo route waliyokuja nayo wachaga wakaishia Kilimanjaro? kwa hiyo na wachaga ni watusi?
 
Hawataki kurudi na Sheria za kimataifa zinasema inabidi warudi kwa hiari sio kwa lazima hapo ndio kimbembe kilipo
 
Kwa hio unasema Paka akikata pumzi kinanuka?
 
Uko sahihi kabisa, ila Watutsi wengi wapo Burundi na si Rwanda. Wanajivunia zaidi Rwanda sababu wamesimika uongozi wao (Kagame)
 
kila mtu akae kwao
Haliwezekani hiyo
Watu kila leo wanakatisha border duniani
Unamkuta mtu kachoka maisha ya Norway anaenda Scotland
Au yuko zake bongo anaamua kuanza maisha mengine Botswana ni sawa tu
Hili hakuna wa kuzuia
 
Hima empire kuota kwa tanzania sio rahisi kama wanavyojidanganya labda ccm isiwe madarakani, wao wakae tu wafanye shughuli zao kama watanzania kama sio mtanzia basi uwe na vibali
Mamb ya kusema eti jamii ya watsi iliyopp Tanzania itambuliwe iyo haipo

Wataambiwa msijali tunaenda kuwakodia makarandinga ya jwtz na abood tunawajaza tunawapeleka kwenu hamtaki mnatawanywa kila mkoa
 
Watatokea vipi Rwanda na unasema mipaka ilikuwa haijachorwa?

Hiyo route uliyoitaja si ndiyo route waliyokuja nayo wachaga wakaishia Kilimanjaro? kwa hiyo na wachaga ni watusi?
Hayo maeneo yalikuwepo lakini yalitambulika kwa majina ya tawala za kiafrika, ni sawa na mtu aseme anaenda uhayani au unyamwezini ila mkoloni alipokuja ndio akaweka mipaka rasmi ambayo ilipuuza tawala na muingiliano wa asili wa waafrika.

Wachagga sidhani kama ni cushites ila sina hakika ya walipotoka. Cushites kwa watanzania ni wambulu, wanyiramba, wanyaturu etc ambao ukiangalia physique yao imekaa kihabesh na inarandana na watusi

Kingine, ukiongelea ukushi ni sawa na kuongelea ubantu ambazo zote ni asili kwa hiyo, msukuma na mkerewe wote ni wabantu ila kila mmoja ana lugha na tamaduni yake inayomtafsiri kama kabila

Wambulu ni wakushi ila haimaanishi wao ni watusi kwa sababu wote wana asili moja 🙏🏽
 
Ni kweli ni vicious cycle, mauaji ya kimbari kati ya watusi na wahutu si mara ya kwanza kutokea mwaka 94, yalishawahi tokea nyuma huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…