Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga.
Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli?
Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania Wachagga wanaongoza,wanawezaje kuishi na makabila mengine na kupata ushirikiano mzuri bila bugudha kama wao wana sifa mbaya?
Ukienda Iringa lazma ukute mchaga tena yupo katikati ya jamii nyingine kabisa,na wanaishi kwa amani, ukienda Mtwara, Tabora sijui Singida kama nyumbani vile,hii dhana inatoka wapi? Lengo lake ni nini?
Kama ni sababu za kisiasa au kivyama mbona mikoa kama Mbeya na Iringa ni wapinzani wa kutupwa lakini hili rungu haliwapati? Shida ilianza wapi?
Leo hii ukienda Moshi hata mjini makabila mengi ni Wapare, Wasambaa, wamasai,wanyaturu,warangi,wambugu n.k
Kwanini hakujawai kutokea malalamiko ya wazi kuhusu dhana hiyo? Je tatizo ni elimu, uelewa au ujinga wa watanzania wachache?