Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

Status
Not open for further replies.

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga.
Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli?

Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania Wachagga wanaongoza,wanawezaje kuishi na makabila mengine na kupata ushirikiano mzuri bila bugudha kama wao wana sifa mbaya?

Ukienda Iringa lazma ukute mchaga tena yupo katikati ya jamii nyingine kabisa,na wanaishi kwa amani, ukienda Mtwara, Tabora sijui Singida kama nyumbani vile,hii dhana inatoka wapi? Lengo lake ni nini?

Kama ni sababu za kisiasa au kivyama mbona mikoa kama Mbeya na Iringa ni wapinzani wa kutupwa lakini hili rungu haliwapati? Shida ilianza wapi?

Leo hii ukienda Moshi hata mjini makabila mengi ni Wapare, Wasambaa, wamasai,wanyaturu,warangi,wambugu n.k
Kwanini hakujawai kutokea malalamiko ya wazi kuhusu dhana hiyo? Je tatizo ni elimu, uelewa au ujinga wa watanzania wachache?
 
Generally wenye uelewa duni wanajichukia

Na wanachukia kila kwenye mafanikio, because they can never meet their expectations

Ni psychological problem and they are sad and lonely

You can read their comments zao humu Ni full kulialia

Tena haijalishi wanachukia nani

So it's not a hate kwa watu wa kaskazini tu Ni kwa wote tu

Bahati mbaya wanaongoza kwa kuwa na muda wa perepete
 
Hayo mazingira mmeyajenga wenyewe ukiona hivyo watu hawawezi kuwachukulia kwa hiyo namna pasipo sababu.
 
Generally wenye uelewa duni wanajichukia

Na wanachukia kila kwenye mafanikio, because they can never meet their expectations

Ni psychological problem and they are sad and lonely

You can read their comments zao humu Ni full kulialia

Tena haijalishi wanachukia nani

So it's not a hate kwa watu wa kaskazini tu Ni kwa wote tu

Bahati mbaya wanaongoza kwa kuwa na muda wa perepete
Kabisa mkuu...hata mwendazake alichangia sana huu ujinga, ndio maana masikini anahisi tajiri ni afui yake kimaendeleo
 
Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga.
Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli?

Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania Wachagga wanaongoza,wanawezaje kuishi na makabila mengine na kupata ushirikiano mzuri bila bugudha kama wao wana sifa mbaya?

Ukienda Iringa lazma ukute mchaga tena yupo katikati ya jamii nyingine kabisa,na wanaishi kwa amani, ukienda Mtwara, Tabora sijui Singida kama nyumbani vile,hii dhana inatoka wapi? Lengo lake ni nini?

Kama ni sababu za kisiasa au kivyama mbona mikoa kama Mbeya na Iringa ni wapinzani wa kutupwa lakini hili rungu haliwapati? Shida ilianza wapi?

Leo hii ukienda Moshi hata mjini makabila mengi ni Wapare, Wasambaa, wamasai,wanyaturu,warangi,wambugu n.k
Kwanini hakujawai kutokea malalamiko ya wazi kuhusu dhana hiyo? Je tatizo ni elimu, uelewa au ujinga wa watanzania wachache?
Mtoa mada wewe mwenyewe unauelewa duni.
 
Kwanini wasidhaniwe Wamakonde? Wamwela?
 
Sababu mmewatungia majina mabaya ndo maana nao wanawaona uchafu tu mbele yao
 
Ni rahisi sana kumkuta mchaga huko usukumani ndani ndani ila si rahisi kumkuta msukuma uchagani ndani ndani huko,

Hoja si wivu au kukosa uelewa,

Ukweli huponya, wachaga ni wasomi ndio ila wana ubinafsi hadi wanaboa

Mchaga akishika ofisi, hadi mfagiaji atakua mchaga, hili ni tatizo

Kama ni usomi ndo unafanya muwe hivi, vipi kuhusu wahaya na wanyakyusa, mbona ni wasomi sana ila sijawahi ona wanasemwa!
 
Wachaga wanajua kuchangamkia fursa Wakishalima Mikorosho basi tena mpaka msimu ufike ili waongeze Wake
Hakuna kabila lisilojua kuchangamkia fursa, unataka kunambia Mwanza, Mbeya Tanga na Dar zimejengwa na wachaga?

Mbona kuna maendeleo kuliko moshi.
 
Ukabila upo kila sehemu Tanzania makabila yote yabaguana kwa wanaojiona wao ni bora zaidi na wanaowaona wengine ni worthless.
NIi ujinga ambao bado haujaisha africa.

Thread za kikabila zimejaa kwenye hii forum na wenye mamlaka wanaziachia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom