Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

Wanaotetea wakoloni na waliochukua dini kutoka kwa wakoloni amabao wote wanajua walihusika na utumwa afrika.

Wote kwa umoja wao ni wajinga hakuna mwenye afadhali wala nafuu.
 
Soma uzi mzima
Nisome mara ngapi?!

Umedai Weusi na Machotara wanaikataa asili yao ya kutokea bara, na baada ya hapo ulichofanya ni kuelezea historia ya watu walivyoingia Zanzibar!!

Sasa kama hoja yako ni "Weusi na Machotara kukataa asili yao ya bara", unatumia vigezo gani kuona hata Machotara asili yao ni Bara?

Kila mmoja anafahamu, tunaposema Chotara kwa muktadha wa mada yako, basi ni yule ambae mzazi wake mmoja ni mweusi na mwingine Mwarabu!

Sasa kwanini unataka mtu wa aina hiyo aone asili yake ni bara kwa mzazi wake mweusi na sio Oman (au ZNZ) ambako ndiko asili ya mzazi wake Mwarabu?!

Na uzoefu unaonesha kwamba, ni Wanaume Waarabu ndio walikuwa wanazaa zaidi na wanawake weusi kuliko wanawake waarabu kuzaa na wanaume weusi!!

Na kwavile tumezoea kuona asili ya mtu ni upande wa baba yake, kwanini basi unamtaka mtu ambae baba yake ni Mwarabu, aseme yeye asili yake ni Unyamwezini kwa mama lakini unaona nongwa akisema asili yake ni Arabuni kwa baba?
 
So unaamini kabisa kabla ya waarabu zanzibar kulikua na kima tu hakukua na watu?

Unajua kwanin waarabu walipaita hapo Zanzibar

Back to your point wanakataa kuhusishwa na bara sababu wanataka kujitenga na hilo likifanikiwa majority watalia na kusaga meno huku wakimkumbuka kocha nyerere na minority wenye miziz mascut wataishi kama paradiso
Hakuna lolote na hakuna yeyote atamkumbuka huyo Nyerere. Yeye ndio tatizo. Ametuaribia nchi.
 
Mimi sio mtu wa dini but I gotta say tatizo liko wapi?

Nyie christians mnatetea wazungu vilevile, ninachokiona hapa ni kila mtumwa anatetea bwana wake.
huku kundi A likipinga kwamba bwana wake hakuhusika na utumwa na mwengine wazi'wazi akijua kwamba bwana wake amehusika na utumwa hivyo hili kundi B linaumia kwanini wanakataa wakati sisi bwana wetu alihusishwa na utumwa na hatukatai, ni lazima tuwe sawa.

while mimi nawaona wote ni bunch of braindeads and uncivilized idiots.
Tuambie wewe ambae haupo upqnde wowote,je waarabu walihusika au la!??
 
Tuambie wewe ambae haupo upqnde wowote,je waarabu walihusika au la!??
Walihusika according to history na haijalishi kama ni kweli au sio kweli which is something I don't give a damn about.
 
Mimi sio mtu wa dini but I gotta say tatizo liko wapi?

Nyie christians mnatetea wazungu vilevile, ninachokiona hapa ni kila mtumwa anatetea bwana wake.
huku kundi A likipinga kwamba bwana wake hakuhusika na utumwa na mwengine wazi'wazi akijua kwamba bwana wake amehusika na utumwa hivyo hili kundi B linaumia kwanini wanakataa wakati sisi bwana wetu alihusishwa na utumwa na hatukatai, ni lazima tuwe sawa.

while mimi nawaona wote ni bunch of braindeads and uncivilized idiots.
nyie, nyie akina nani? aliyekuambia nipo hapa kwa niaba ya wakristo ni nani?.
alafu wazungu na ukristo wapi na wapi? acha porojo kijana. ukristo umefika Africa mapema kabla ya hao unaowahisi wameuleta.
 
So unaamini kabisa kabla ya waarabu zanzibar kulikua na kima tu hakukua na watu?

Unajua kwanin waarabu walipaita hapo Zanzibar

Back to your point wanakataa kuhusishwa na bara sababu wanataka kujitenga na hilo likifanikiwa majority watalia na kusaga meno huku wakimkumbuka kocha nyerere na minority wenye miziz mascut wataishi kama paradiso
Waunguja hapo wanaingizwa mkenge,znz ikijitenga wategemee wapemba kushika visiwa vyote viwili na wao kuishi kama watumwa
 
Mimi sio mtu wa dini but I gotta say tatizo liko wapi?

Nyie christians mnatetea wazungu vilevile, ninachokiona hapa ni kila mtumwa anatetea bwana wake.
huku kundi A likipinga kwamba bwana wake hakuhusika na utumwa na mwengine wazi'wazi akijua kwamba bwana wake amehusika na utumwa hivyo hili kundi B linaumia kwanini wanakataa wakati sisi bwana wetu alihusishwa na utumwa na hatukatai, ni lazima tuwe sawa.

while mimi nawaona wote ni bunch of braindeads and uncivilized idiots.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa umeongea kama hauishi dunia hii....
 
Lazima wajitenge na tanganyika kwani waliungana tarehe 26 aprili mwaka 1964 lkn hakuna tarehe walioungana unguja na pemba
 
Yaani mtu mweusi tii, ana pua pana, lips pana na nywele fupi ngumu anajiita Mwarabu kama huyu FaizaFoxy wa humu

Kisa wameletewa Uislam na kuwa Waislam wanajiona sio watu weusi tena
Sasa wewe inakuuma nini, kwani unamjua asili yake? Waarabu ni patrilineal (kufuata baba) kwa hivyo hata akioa mswahili basi mtoto ni wake na anachukua kabila lake. Na akirudi kwao anamchukua mtoto wake. Lakini nyinyi munaendelea kuleta chuki tu.

Halafu unalazimisha makabila ya bara, Zanzibar hakuna kabila sasa unataka lazima tukwambie mimi ni Mnyangurukutu wakati hatuna kabila?
 
wanakuambia mwarabu hakuhuska na biashara ya utumwa, kile kinachojulikana na wengi kuwa mwarabu alihuska ni ya uwongo uliotungwa na Westerners kuwafitnisha na ndugu zao katika Iman ya mnyazi mungu.
Hata wazungu na waafrika wenyewe wamehusika sana na biashara ya utumwa, kwa hivyo usilikomalie kundi moja tu kwa biashara hiyo.

Hao wazungu wako baada ya kuona biashara ya utumwa hailipi imekuwa ghali sana ndiyo wakajifanya eti wako mstari wa mbele kutetea, kha!
 
zanzibar = unguja + pemba., mimi binafsi naunga hoja yao ya kuwa na taifa lao huru.......then walioko huku bara warudi kwao, waje upya kama wawekezaji 😎 .........
Sidhani Kama hilo linawezekana kwa Sasa, wazanzibar waliopo bara ni wengi mno na wamejijenga vizuri kiuchumi, siyo rahisi kurudi Zanzibar.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Kwahy ulitaka msukuma au mnyakyusa akatae asili yake
 
Back
Top Bottom