Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

So unaamini kabisa kabla ya waarabu zanzibar kulikua na kima tu hakukua na watu?

Unajua kwanin waarabu walipaita hapo Zanzibar

Back to your point wanakataa kuhusishwa na bara sababu wanataka kujitenga na hilo likifanikiwa majority watalia na kusaga meno huku wakimkumbuka kocha nyerere na minority wenye miziz mascut wataishi kama paradiso
Umenena vyema kabisaaa! Ni suala la muda tu hao wanaotaka kujitenga wakifanikiwa. Hi post itunzwee! Minority arabs watarud kwa mkono wa aman, then gues what next!! Wataanza kuwatenga majority ambao ni wamakonde walioikana asili yao na kudhani wao ni sawa na waapuuz waarabu! Wakati huo bara hatutahitaj usumbufuu wa kuwakaribisha kwa kukwepa manyanyasoo..
Mwisho wa siku wataorganize the second revolution which i dont think they will succeed this time!
 
Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini.

Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa wafanya biashara wakaanza kuwatumia machifu na mamwinyi kuwauzia watumwa katika jamii zao na kisha kuwasafirisha kwenda nchi nyingine,

Since uyu mama aingie madarakani kelele nyiingi utazani hana haki ya ku2ongoza,,,habari za u2mwa zimeshamiri tokea aingie.
 
Ndio maana nimekuuliza, ina maana wewe humtetei mzungu au wewe sio christian?
Nani alikudanganya kila mzungu ni Christian? Mi nimekaa na wazungu wengi hawana dini..and they don't give a shi.t
 
Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini.

Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivy
Tangopori
 
Muarabu asili yake sio mweupe.Alitokea Afrika,akaenda nchi za mashariki ya Kati,kule akaanzisha maisha,walipoletww watumwa kutoka Ulaya ya mashariki(weupe),ndio wakaoana na Hawa watu weusi(waarabu),na kupatikana waarabu weupe.Asili ya muarabu ni mweusi,na ni watu kutoka Afrika,hata hilo jina la Afrika,ni neno linalotokana na mfalme,wa asili hiyo,aliyewahi kutawala Afrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah wee jamaa nimesoma hii ikabidi nicheke, hebu unaweza kunipa source ya info yako labda nnaweza kujifunza kitu kipya, usisahau kuambatanisha na picha za hao authentic black Arabs before interaction
 
Kwasasa? Hii ni kwasasa au tangu mwanzoni?
Kuna defenition nyingi za mwarabu kama vile kulivyo na Definition nyingi za mswahili.

Kiasili kabisa watu wa North Africa Egpty, Morocco, Tunisia, Libya, Algeria etc sio Waarabu ni berbers, pia kuna race Nyengine kama wakurdi, copts, Wagiriki na wengineo nao si Waarabu ila wanajulikana kama Waarabu sasa hivi.

Na haijaanza hivi karibuni hii definitions ni mamia ya miaka nyuma.

Kiasili Waarabu ni wale wakazi wa wa ile Ghuba pale middle east, Oman, Yemen, Saudi, UAE, Bahrain, Jordan, Kuwait, Iraq, Syria. Etc.
 
Mimi sio mtu wa dini but I gotta say tatizo liko wapi?

Nyie christians mnatetea wazungu vilevile, ninachokiona hapa ni kila mtumwa anatetea bwana wake.
huku kundi A likipinga kwamba bwana wake hakuhusika na utumwa na mwengine wazi'wazi akijua kwamba bwana wake amehusika na utumwa hivyo hili kundi B linaumia kwanini wanakataa wakati sisi bwana wetu alihusishwa na utumwa na hatukatai, ni lazima tuwe sawa.

while mimi nawaona wote ni bunch of braindeads and uncivilized idiots.
Chunguza ni maraisi gani kati ya wakristo na waislamu walikuwa hapa tz wanasujudia wazungu nyerere alikuwa kinyume ya wazungu kaua sana wazungu waliokuwa wana koloni africa ukija kwa magufuli ndiyo kakuta kikwete kesha uza nchi kwa wazungu kwa mikatabq ya kifisadi....sasa tunaye muislamu samia anatusujudisha kwa wazungu kupitia chanjo za Johnson & Johnson na kuombaomba huko kwao na kuona fahari kuhutubia un
 
Kuna defenition nyingi za mwarabu kama vile kulivyo na Definition nyingi za mswahili.

Kiasili kabisa watu wa North Africa Egpty, Morocco, Tunisia, Libya, Algeria etc sio Waarabu ni berbers, pia kuna race Nyengine kama wakurdi, copts, Wagiriki na wengineo nao si Waarabu ila wanajulikana kama Waarabu sasa hivi.

Na haijaanza hivi karibuni hii definitions ni mamia ya miaka nyuma.

Kiasili Waarabu ni wale wakazi wa wa ile Ghuba pale middle east, Oman, Yemen, Saudi, UAE, Bahrain, Jordan, Kuwait, Iraq, Syria. Etc.
Aaaah hapo kwenye Wagiriki ni kamba mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Wagiriki ni wazungu kama walivyo Waitalia tu, hawajawahi kudhaniwa au kufananishwa na Waarabu, ni wewe ndio unawafananisha.
 
INAONEKANA WATU WENGI WANACHUKIA WAZANZIBARI JUU YA ASILI YAO . SASA NA NYINYI WATANAZANIA SI MUJIITE WAARABU KWANI MUMEKATAZWA
Waarabu ni dili mkuu. Mpaka ujiite mwarabu uwe na vigezo vinavyofanya uwe mwarabu, nywele laini na ndefu, mweupe.
 
Unaongea vitu
Nyama ikigeuzwa kuwa supu sio nyama tena

Historia hii inauma sana hasa kwa hawa wenzetu wa pwani

Hawataki kusikia au kufundishwa kuhusu biashara za utumwa zilizofanywa na waarabu

Unalazimisha watu wafundishwe historia za kusadikika na kufikirika kuhusu biashara za utumwa zilizofanywa na waarabu.

Wewe hapo ulikuwepo wakati wa matukio hayo???

Ni lini mtaacha chuki mkuu na kuwasakama/kuwazushia waarabu ubaya? Kwanini mnawafanyia hivyo, mnachopata ni nini haswaa kuwakandia kiasi hicho??? Wamezaliwa huku na kukulia huku miaka na wengine wana marafiki na bado mnawachukia. Sio freshi ivyo mkuu.
 
Aaaah hapo kwenye Wagiriki ni kamba mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Wagiriki ni wazungu kama walivyo Waitalia tu, hawajawahi kudhaniwa au kufananishwa na Waarabu, ni wewe ndio unawafananisha.
Kuna jamii nyingi za Kigiriki middle east, kama hufahamu wewe haimaanishi hicho kitu hakipo. Egpty, Iraq, Lebanon etc Zipo Jamii zao na jamii nyengine ambazo asili zake ni Ugiriki.

Na pia Wagiriki wa leo DNA zao hukosi levantine ancestry.

Wagiriki wametawala na Kutawaliwa na Middle East.

Na hio term Mzungu ni Ya juzi juzi tu ila Wagiriki, Spain, Waturuki wanafanana na watu wa Middle East Kuliko Wazungu aka blondes.

Term ya mzungu kwa sasa haina utofauti na unaposema mwarabu, ni Cultural na geographical term zaidi kuliko asili.
 
Unaongea vitu

Unalazimisha watu wafundishwe historia za kusadikika na kufikirika kuhusu biashara za utumwa zilizofanywa na waarabu.

Wewe hapo ulikuwepo wakati wa matukio hayo???

Ni lini mtaacha chuki mkuu na kuwasakama/kuwazushia waarabu ubaya? Kwanini mnawafanyia hivyo, mnachopata ni nini haswaa kuwakandia kiasi hicho??? Wamezaliwa huku na kukulia huku miaka na wengine wana marafiki na bado mnawachukia. Sio freshi ivyo mkuu.
Bwana mkubwaaa..kwan ww n mwarabu? Mana naona unatetea sanaa...wale wanaoishi zenj sio waarabu ni vibaka tu waliozaliwa kwa kubakwa wamama wakiafrica na waarabu waliokuwa wanafanya biashara za watumwaa.
 
Back
Top Bottom