Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko

Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
Mzaramo hawezi kuwa na wivu wa mapenzi wala kuumizwa kwasababu kuchepuka ni sehemu ya mapenzi kwao

Yaani Mwanamke asipochepuka wanamshangaa na kumsuta mpaka achepuke na Wanaume kadhaa...asipochepuka wanamuuliza vp mwenzetu we Mgonjwa?

Hilo walishalizoea tangu enzi na enzi
 
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko

Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
Hawako serious na mapenzi,unaoa au kuolewa lkn nje una mtu wako mmoja au wawili.Wana ngoma zao ambazo ukienda unajibebea au kuchukuliwa na yoyote yule na wanafurahia,kwahiyo wivu haupo....
 
Labda tamaduni yao ya kuwa na mke zaidi ya mmoja ina saidia.
Pia kule kuongea kwao sana kuna kuna saidia, mara nyingi wakiwa na dukuduku hawakai nalo moyoni wanaongea sana.
Umemaliza mjadala

Thread ifungwe

We si unaona jk na jpm walivyo

Pata picha jpm ndo kamuoa dada yako afu akamfumania na mwanaume,unahisi nini kitatokea?
 
Hao kwanza hata kuhudumia mwanamke hawana,kwa hio hata akichepuka hawana cha kupoteza tofaut na wanaume wa sehemu zingne ambao unajitoa kwa mwanamke vikali halafu unakuja gundua anamegwa kisela wew unafikir nin kitatokea?pia utamaduni wao tofaut na sehemu nyingne mke wa mtu huko anasasambua mauno hadharani na mumewe wala hata hajali!
 
Wazaramo naturally ni malaya ndio maana hawana wivu wa mapenzi, simply hawatoi moyo wao kizembe kwa mtu mmoja hata awe mume au mke wa ndani.

Hawajui kupoteza muda kumfikiria mtu mmoja wao muda mwingi wako mbio mbio tu, kanuni yao ni moja tu; ukinizingua nakuzingua lakini ukija na story tunapiga na kucheka tutacheka ukipenda, hamna kununiana.
 
Hao kwanza hata kuhudumia mwanamke hawana,kwa hio hata akichepuka hawana cha kupoteza tofaut na wanaume wa sehemu zingne ambao unajitoa kwa mwanamke vikali halafu unakuja gundua anamegwa kisela wew unafikir nin kitatokea?
Hilo ndo jibu 100%,

wanaume wa ukanda wa pwani ni wavivu hawahudumii familia ipasavyo wapo radhi mke agawe uroda nje ili apate kula mtu km huyu hawezi kuuua kisa mapenzi sababu ya ujinga wake na wengi wao ni baba wa nyumbani ila wanaume wa pwani hapanaaa acha tuendelee kukomaa na wauaji tu
 
Back
Top Bottom