Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hoja yako ni uislam au uzaramo ?Siyo mzaramo huyo. Ni wakuja tu. Siyo kila Hamisi ni mzaramo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ni uislam au uzaramo ?Siyo mzaramo huyo. Ni wakuja tu. Siyo kila Hamisi ni mzaramo.
Ona mbudhi hiiUislam.
Babu seyaUmemaliza mjadala
Thread ifungwe
We si unaona jk na jpm walivyo
Pata picha jpm ndo kamuoa dada yako afu akamfumania na mwanaume,unahisi nini kitatokea?
Huko bara wapo waislam wenye wake wengi matukio yapo sababu ya kuhudumia, ile umiliki na ufahari mwanaume haimtoki hata awe na wake 100 ila km hahudumii inavyotakiwa inapoteza hiyo ufahari ndo hayo matokeo yake mke anagongwa nje mwanaume anaona poa hana cha kupotezaHawana uchungu na mwanamke kwa sababu ni wanaume docile na hawadumii wanawake wao ndiyo wanahudumiwa.
Wanaoa wanawake wengi pia hiyo nayo inapunguza kujishikiza kwa mwanamke mmoja tu.
Eeh kwamba yule aliyemfyatua risasi mkewe na yeye kujiua huko mwanza hakuwa muislam?Uislam.
Ni kweli kwasababu uislam unaruhusu umalaya yan kuwa na wake/wapenz wengi, so kuwa na options kunaondoa stress kwa mtuUislam.
Utetezi wako ulijenga hoja uislam.Siyo mzaramo huyo. Ni wakuja tu. Siyo kila Hamisi ni mzaramo.
Wamasai tuna uguoia ndani kwa ndani alfu mapenz ss hatuoneshi hadharani 🤣 ninmarufuku kuonesha penz hadharani kumpenda kwa Masai Ni ngumu kujuwa kuwa anakupenda na wengi hatuko romanticUshawahio ona sisi masai tuna wivu wa hayo mapenzi?
watakua wanaona uvivu kudeal na hizo stress 😂Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko
Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
Kabisa kwanza wao kwa mwaka anaweza kuoa hata Mara nne au kuhama kwake na kuhamia kwa mwanamke bila hata aibu.Huko bara wapo waislam wenye wake wengi matukio yapo sababu ya kuhudumia, ile umiliki na ufahari mwanaume haimtoki hata awe na wake 100 ila km hahudumii inavyotakiwa inapoteza hiyo ufahari ndo hayo matokeo yake mke anagongwa nje mwanaume anaona poa hana cha kupoteza
Wanajificha kwenye chaka la dini lakini ukweli ni kuwa hawavuji jasho kama ilivyoagizwa, mi na uanamke wangu huu ningekuwa mwanaume namuhudumia mke kwa kila kitu halafu nimkute anashikwa tu na mtu mwingine aaaiii nakuua kiukweliKabisa kwanza wao kwa mwaka anaweza kuoa hata Mara nne au kuhama kwake na kuhamia kwa mwanamke bila hata aibu.
Wanaume wa pwani wanaishi Kama kunguru tu.
Kumbe uislam ndio unahusika kucheza uchi kwenye vigodoro na kufanya uasherati, asante kwa kunifumbua.Uislam.
Medali ya dhahabu ina wahusuUtadhani Watswana (Botswana). Watswana akimkumbuka mpenzi wa zamani anmuaga kabisa Mme wake kuwa anaenda kulala kwa mpenzi wake wa Zamani. Ni kawaida sana na wala hakuna ugomvi.
Uelewa tu!Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko
Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
Uhudumie kila kitu halafu mtu akupandishie mabega au afanye usaliti lazima pachimbike.Wanajificha kwenye chaka la dini lakini ukweli ni kuwa hawavuji jasho kama ilivyoagizwa, mi na uanamke wangu huu ningekuwa mwanaume namuhudumia mke kwa kila kitu halafu nimkute anashikwa tu na mtu mwingine aaaiii nakuua kiukweli
Hapana, hayo siyo nafundisho ya Uislam.Kumbe uislam ndio unahusika kucheza uchi kwenye vigodoro na kufanya uasherati, asante kwa kunifumbua.
Pwani huko hususani wazaramo ndio magwiji wa vigodoro na ufuska.Hapana, hayo siyo nafundisho ya Uislam.
Kiufupi wamebadilishana majukumu na hulkaUhudumie kila kitu halafu mtu akupandishie mabega au afanye usaliti lazima pachimbike.
Ila Pwani wala hawana shida kwanza wao ni ngumu kukuta mwanamke ana watoto wa baba mmoja au mwanaume mwenye watoto wa mama mmoja tu ni nadra sana.