Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Hoja zako mufilisi,na sio wazaramo sema waislam upumbavu wa kuuana kisa mapenzi walishatika huko.Huwezi ukakaa ukaona muislam kamtia shoka mkewe kisa mapenzi.Mzaramo hawezi kuwa na wivu wa mapenzi wala kuumizwa kwasababu kuchepuka ni sehemu ya mapenzi kwao
Yaani Mwanamke asipochepuka wanamshangaa na kumsuta mpaka achepuke na Wanaume kadhaa...asipochepuka wanamuuliza vp mwenzetu we Mgonjwa?
Si hilo tu, hata asipohudhuria katika vigodoro wanamshangaa sana
Hilo walishalizoea tangu enzi na enzi
Hapo ndio tulipojichukulia point3,ule utaratibu wa kuoa wanawake 1_4 ndio umewanya wengi kuwa watulivu.
Kinachowatesa wenzetu unakuwa na mwanamke mmoja(taratibu)huwezi kuoa mwingine hivyo mwanamke anafanya atakavyo akijua hawezi kuachwa,yaan hata usikie analiwa wewe utabaki na moyoni au ndio mpigane muwane