Kwanini wazaramo hawaumizwi kimapenzi?

Siyo uislam jamii hizo ni matrilineal automatically zinakuwa siyo aggressive sana.

Mkoa mwingine wenye jamii matrilineal ni Singida hauna rekodi ya mauaji
 
Siwataki hata bure
Si wa kwanza wewe kutoa kauli kama hiyo, tena nimewahi kuzisikia kali zaidi ya hiyo; lakini mwishowe walipoonjeshwa mahaba ya pwani niliwasikia wakiwa wamepagawa kwa maraha hadi kufikia kugugumia kwa sauti kama ya mbuzi 'meee meee' wakati wa kupokea jihogo la jang'ombe lililonakshiwa kwa mafuta ya nazi kavu ya mdondo.
 
Hii sasa ndo fani yenu sio utafutaji
 
Mkuu Denaa JG, mbona umalaya wao hauendani na athari za zinaa kama Aids na Kaswende? Yaani ni vipi, kama ni kweli kwamba huko Pwani, kupewa mfereji na mke wa mtu sio issue, kwamba maambukizi ya maradhi ya zinaa ni makubwa Kanda ya Magharibi na nyanda za juu kuliko Pwani? Mfano, Njombe, maambukizi ya Ukimwi ni takriba 14%, wakati Pwani ni below 5% ?

Sio kwamba napingana na wazo lako, ambalo huenda linatokana na experience yako, isipokuwa najiuliza kwa nini wao (Pwani) hawaathiriki sana na huruma za wakina mama wa huko kama wenzao wa Kanda ya magharibi?

Labda kuna wataalamu wanaweza kusaidia kidogo.
 
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko

Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress za mapenzi bila madhara.
Wazaramo kwanza hutumia wake zao kama mtaji wa kuongeza kipato. Nimeshaishi nyumba ya kupanga Kinondoni mbona mwanamke wa Kizaramo alikuwa anamegwa tu na mume anajuwa.

Wazaramo hawana wivu wala chuki kwenye hili
 
Bara ipi unayozungumza? Vitoto vinatifuana vichakani na wazee wasiokuwa na aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…