Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

Anza na wazazi wa mbowe maana nasikia hajulikani hata kama alikanyaga shule lakini mkwe wake alimsuka hadi akafanya kazi BOT


state agent
Itakua sio Mbowe wa Chadema unae msemea kama ndie basi rudi shule..hujui ulisemalo nguchiro ww..[emoji23]

Unasikia kumbe huna uhakika toa nta masikioni usikie vizuri na tizama kwa makini..
 
Hao wazazi wake wakithibitisha utawaamini? Au utakuja na thd nyingine ya kuponda huo uthibitisho?
 
Hata wao wanajua mtoto wao ni jangili wa cheti cha mtu.

Wazazi wake nawafahamu vizuri tu. Baba yake huyo 'jangili wa elimu' anaitwa Albert Bashite, mama anaitwa Suzana Bashite (na RC wa Dar anafanana na mama yake kwa kila kitu, isipokuwa jinsi tu). Na kwao hawana jina la Makonda.

Hawa wazazi walibahatika kupata watoto wawili tu, Daudi Albert Bashite (RC) na binti ambaye alifariki akiwa mdogo na sikuwahi kufahamu jina lake. Hivyo wazee hawa wakabakiwa na mtoto mmoja tu, huyo Daudi.

Nenda pale Igoma,Mwanza utawaona. Tena ukienda kwenye kanisa la Waadventista Wasabato Igoma siku ya Jumamosi wala hutapata tabu. Mama yake ni muumini mzuri pale na ni mwema, mkarimu na mcheshi kwa kila mtu. Mzee Albert alishagoma kusali pale. Ukifika mwombe hata mtoto wa umri wa miaka 6 akuonyeshe mama yake Makonda, na mara moja utaonyeshwa. Kisha uliza, huyo mama anaitwa nani? Utaambiwa Suzana Bashite (Mrs.Bashite).
 
The Sun-of-a Beach,

Kama ni DAUDI ALBERT BASHITE huyu jamaa nilisomanae shule ya msingi nyanza!
Enzi za mwl mkuu TUMBO na msaidizi wake mwl MIGANI!

tena tulikuwa mkondo A lakini yeye alikuwa muhamiaji mwenye lafudhi ya kisukuma kama watoto wa mea wa mwanza kipindi hicho kama sikosei mea huyo alikuwa anaitwa KAMESE!!
 
Wewe hayo yanakusaidia nini katika maisha yako?, Ada, kodi na mengineyo January?
Mimi siyo Masikini wa kuhangaika mambo madogo kama ada , kuna kampuni nimeipa kazi ya kulipa ada za wanangu , halafu mimi nawalipa wao
 
Daaah ingepatikana picha ya mamaa ingekuwa safi sanaa.
Hata yeye anajua issue ya mwanaye inafatiliwa sana, so ameongeza ameo
Kama ni DAUDI ALBERT BASHITE huyu jamaa nilisomanae shule ya msingi nyanza!
Enzi za mwl mkuu TUMBO na msaidizi wake mwl MIGANI!

tena tulikuwa mkondo A lakini yeye alikuwa muhamiaji mwenye lafudhi ya kisukuma kama watoto wa mea wa mwanza kipindi hicho kama sikosei mea huyo alikuwa anaitwa KAMESE!!
Of course jamaa alihamia hapo shuleni akitokea kijijini Kolomije, wilaya ya Misungwi. Kuna wakati akiwa hapo Mwanza aliwahi kuishi kwa Mzee Kamese, ambaye alikuwa Mstahiki Meya wa Mji wa Mwanza enzi hizo.
 
Hata yeye anajua issue ya mwanaye inafatiliwa sana, so ameongeza ameo
Of course jamaa alihamia hapo shuleni akitokea kijijini Kolomije, wilaya ya Misungwi. Kuna wakati akiwa hapo Mwanza aliwahi kuishi kwa Mzee Kamese, ambaye alikuwa Mstahiki Meya wa Mji wa Mwanza enzi hizo.
Ni kweli mkuu atakuwa aliwahi kuishi kwa mzee kamese kwani nakumbuka watoto wa kamese walipokuwa wakiijiwa na gali mida ya saa nane na nusu mshikaji nae alikuwa anapanda japo haikuwa kila siku!!
 
Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa
Wazazi wake labda wapo uku mjini,Kwahadhi aliyofikia sio rahisi kuwaacha kijijini wazazi wake,hata kama ukiwa ni wewe
 
Erythrocyte,

Alfu wakale wapi, wacha waendelee kuvumilia wakitunzwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom