Mkuu naheshimu sana brandi yako ya mada za kichawi hakuna mtu anakuzidi humu kwenye hiyo angle.......Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa
Hawezi kuelewa zaidi ya kutafuta vijimaneno vya kuwafurahisha mabeberu wa Ufipa.Hivi umesoma na kuelewa
State agent
Aya mambo ni private zake wakuu.ata kama anaenda aviambie na vyombo vya habar?Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa
Upumbavu mtupu, vyeti feki huviongelei kww nini?Wazazi wa makonda ni watu wenyeuelewa mpana hawana ujingaujinga wa kujionesha wala kuingilia maisha ya mwanao ambae amesha zidi 18yrs
Labda uwalete wazazi wako na ujuha wenu kwenu
State agent
I love you [emoji7]Wazazi wa makonda ni watu wenyeuelewa mpana hawana ujingaujinga wa kujionesha wala kuingilia maisha ya mwanao ambae amesha zidi 18yrs
Labda uwalete wazazi wako na ujuha wenu kwenu
State agent
Wewe mwenyewe hilo jina unalotumia hapa sio lako, jitokeze na uthibitisho wa majina yako halisi hapa.Fedheha anayoipata mtoto wao iliyosababishwa na tuhuma za kuiba jina la mtu kutokana na kufeli masomo yake ya awali ni kubwa sana.
Hata kama anatengeneza hela hata za haramu lakini kwa kweli tuhuma hizi ni aibu kubwa sana kwake na kwa wazazi wake.
Wanyakyusa wa Kyela wana kamsemo kao haka, "Ikuliila Muunto", kwa tafsiri wanamaanisha kwamba pamoja na kwamba mhusika anakula lakini anakula kwa tabu sana.
Labda kama hana wazazi, lakini kama wapo ni vema wakajitokeza hadharani kumuondolea aibu kijana wao.
Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa?
Tutajie tarehe za mawaziri wote unaowajua, na makamu wa rais, weka picha/link tusome lini walienda kuwajulia wazazi wao hospitali wakiwa wamelazwa.Halafu kingine ni hiki, mbona hatujawahi kumsikia hata kwenda kwao kuwajulia hali wazazi wake, hawajawahi hata kuumwa
Hata yule mtoto Mange aliwaaminisha sio wake, na kwa jinsi walivyo manyumbu wakaamini.Hao wazazi wake wakithibitisha utawaamini? Au utakuja na thd nyingine ya kuponda huo uthibitisho?
Mkuu jikite kwenye hojaHata yule mtoto Mange aliwaaminisha sio wake, na kwa jinsi walivyo manyumbu wakaamini.
Sasa ivi wanaumbuka, mtoto copy right.
Mimi siyo kiongozi .Erythrocyte,
We ukienda kuwaona wazaziwako huwa unatuambia?