goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Hbr za siku,
Nina rafika yangu wazazi wake wote walikuwa waajiriwa wa taasisi za umma na kwa Kweli walifikia hadi nafasi za juu sana katika hizo taasisi walizo ajiriwa hivyo mishahara na pension zao ziko vizuri mno.
Hoja
Jamaa ni mwaka wa nne hana kazi ni kula kulala tu amejaribu kuomba angalu wampe 10m aanzishe baishara za kuuza simu na kisha kuuza rejareja nao pia wamemkatalia, wazazi wanamumbia akazane kutafuta kazi na hata ameombewa kujitolea katika taasisi mmoja ila jamaa alikwemda miezi mitatu tu akaacha kwa alikuwa anaona wageni wanakuja wapaya waliopata ajira na yeyr kuendelea kubaki bila mkataba hvyo akaona uchungu akarudi zake nyumbani kwenda kula na kulala.
Nimemshauri aanzishe hata biashra za kuuza cement na naondo kwani mtaa anao kaa Kuna majenzi sana yanaendelea na uhitaji ni mkubwa pia anasema wazazi wake hataki kufanya hzo Kazi na bora atulie nyumbani na kwenda kuwafata wadogo zake pindi wakitoka mashuleni.
"Wazazi toeni mitaji vijna wakajikwamue kiuchumi. Hakuna michongo kabisa wanao pata kaz ni wale wale na ndio maana hata TRA wamerudisha zoezi la ajira kwenye mamlaka hiyo ili kuendeleza kizazi katk taasisi hiyo.