Wazazi wengi sana Wa Tanzania bado hawana exposure ya dunia inakoenda, bado kuna mifumo flani sana wanaiamini!
Hapa chini ni quote kutoka kwa jamaa angu mmoja Wa karibu sana akilaumu
" Familia yangu katika story huwa nikijaribu kuingiza mada za kujiajiri provided capital ipo ndani au nje ya uwezo wao basi unaona kabisaa wamebadirika na hawafurahi hayo maongezi, wanaona ni kama umekubali failure, umekataa tamaa, ila wanapenda sana kusikia umekuwa(.....) officer katika taasisi flani hapo wanaona ndio umefuzu na story hizo wanapenda kuziskia na utaskia wanakuambia tunakuombea sana iwe hivyo"
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app