Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa mshauri kitu kizuri tu mwambie ajenge banda la genge la kuuza nyanya hapo hapo kwao halafu aone baba yake atachukuwa hatuwa gani.Mkuu Bab ake alikuwa fisadi mzuri tu hvyo atakuwa kachota San ,had awaambie wazazi wake wanunue gar la tour apige Kaz za utalii mjini Arusha nayo pia wamemgomeaa kbsaa
Hakuna mapenzi hapo ni ujinga, Wazazi watakufa watamuachia maisha mabovu sana, na hata kama kuna mijengo ya urithi itauzwa tu na shida zinabaki palepale.Wazazi wake wanamfahamu na wanampenda mtoto wao vizuri zaidi kuliko wewe uliyekutana naye ukubwani...!
That's it
Hakuna mapenzi hapo ni ujinga, Wazazi watakufa watamuachia maisha mabovu sana, na hata kama kuna mijengo ya urithi itauzwa tu na shida zinabaki palepale.
Ndo mana nilisema pale juu, "wazazi wake wanamjua na kumpenda mtoto wao vizuri zaidi ya mtu yoyote yule" sometimes tunakurupuka ku judge familia za watu kimakosa...Huenda walishamchunguza wakagundua hana nidhamu ya pesa. Atafute zake mwenyewe ili ajue ugumu wa kupata pesa.
Ila kweliSawa sio rahisi kusimama bila sapoti ila anzisha waone juhudi zako, ndo wapate mwoyo litoto linaomba lipewe 10m ila halijawahi kupambana kupata 500k yakwake, hapo kweli kuna mtu wakufanya biashara au kupoteza pesa tu, wazazi wengi wanajua uwezo na akili za wanao so akiamua kutompa ntaji some time ni kumnusuru litakalo mpata akiwa na pesa.
Duh inawezakana hiyo biashara inasimamiwa na wazazi wake ile hasara isionekane, kwasbb biashara hapa Tz ni most complicated hasa kwa anae anza, wenye mitaji mikubwa wanaweza kusimama kwa mda mrefu kwasbb hasara kwao haiathiri sana.
Umeongee point mno game ya biashra a ha kbsa mm Niko ajira binafsi ila natamani smtm niajiriwe tu na mm mank bishta haitabirikiDuh inawezakana hiyo biashara inasimamiwa na wazazi wake ile hasara isionekane, kwasbb biashara hapa Tz ni most complicated hasa kwa anae anza, wenye mitaji mikubwa wanaweza kusimama kwa mda mrefu kwasbb hasara kwao haiathiri sana.
Ndo mana nilisema pale juu, "wazazi wake wanamjua na kumpenda mtoto wao vizuri zaidi ya mtu yoyote yule" sometimes tunakurupuka ku judge familia za watu kimakosa...
Mtoto mwenye nia ya kufanya biashara utaona jitihada zake mapema tu, kisha msaada unakuwa ni kum boost tu...
Wengi wanaosema naomba mtaji nifanye kitu flani...huwa ni uzushi sana...kutafta mtu wa kumlaumu...
Sidhani kama mtoto angekuwa ashafanya kitu flani awali, kama ni biashara, af wazazi wakaona mtoto wao anahitaji kuongezewa ktk biashara aloanzisha, af wakamkatalia kusudi...hawapo wazazi wa aina hiyo...
Wazazi wanawajua watoto wao vizuri zaidi ya marafiki...
Mm na mm ilinitokea hvyo nimepigika mno ila broo ana pesa mno Hadi kuonga mademu viwanja hajawai niwezesha Jambo lolote nikaona isiwe ujinga nikaanza kuuza kuni za masheree ya harusi siku moja nikasikia Kuna harusi sehemu fln huko moshono nilikwenda kuomba tenda ya kuzambaza kuni kumbe nilimkuta yey ndio mwemye kiti wa kamati was ile harusi jamaa alijisikiaa vibaya sna pindi nilivyo itwa nijeleze kuhusu Bei na Aina za kuni jamaa alibaki kushanga tokeaa siku zile aliniheshimu mnoAbandike kibao nje ya nyumba yao "TUNAUZA ICE CREAM" na awe anauza kweli. Watu watasaidia kumwambia mzee mbona mwanao anakuchafulia jina, si umpe mtaji wa maana atoke!
Ila kama mzee kauzu haisaidii kitu
Wahaya ndio wanatabia hzo za kupenda privilege na. Title kubwaWazazi wengi sana Wa Tanzania bado hawana exposure ya dunia inakoenda, bado kuna mifumo flani sana wanaiamini!
Hapa chini ni quote kutoka kwa jamaa angu mmoja Wa karibu sana akilaumu
" Familia yangu katika story huwa nikijaribu kuingiza mada za kujiajiri provided capital ipo ndani au nje ya uwezo wao basi unaona kabisaa wamebadirika na hawafurahi hayo maongezi, wanaona ni kama umekubali failure, umekataa tamaa, ila wanapenda sana kusikia umekuwa(.....) officer katika taasisi flani hapo wanaona ndio umefuzu na story hizo wanapenda kuziskia na utaskia wanakuambia tunakuombea sana iwe hivyo"
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app