Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kuwapa watoto mitaji kuanzisha biashara?

Dunia ya sasa atayeweza kuokoa kizazi chako ni wewe mwenyewe hakikisha unakuwa mental wa watoto wako kielimu na kiuchumi.
Kinachotuponza waswahili ni elimu ya maisha hasa maisha ya karne ya 21.

To sad
hawa wazee wetu zaidi ya kazi za serikali hakuna utachofanya wakaona umetoboa na usitegemee wakusapoti labda kama ni wachaga hili kabila lina wazee wenye akili za maisha balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…