Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Ke watasema Me waliochangia nao damu kufyatua M (Watoto) huwa wana thamani zaidi kupasha viporo kuliko Me waliowabikiri.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Manamke kuliwa kupo tuu wether ameolewa au hajaolewa muhimu wee ndani ya nyumba unapewa mbususu muda unaohitaji...kifupi manamke asikunyime mbususu.
Akiamua kwenda kuonja vibamia vingine hayo ni maamuzi yake and there is nothing u can do about it.
Church girl's Wana anngalau ukakika 99%
 
Mkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
 
Wazazi wako sawa

1.imagine uende jela afu ulale mataqo wazi kwenye kitanda kimoja na mnyampala aliyevaa suruali yenye zipu ilyotoboka unafikiri nini kitatokeaπŸ€”Tena ulale mataqo umemgeuzia yeye huyo mnyampala


2.Imagine mkate ulikuwa mzima panya akapita akala kipande wewe ukaamua kuchukua ukautunze kwenye kabati ambalo unajua panya yupo Sema kwa muda huo yupo mbali unafikiri yule panya akisikia harufu ya huo mkate atauacha? Yani asipige sip Ata moja 🀣asipige bite(mng'ato) *mamamae
 
Hapa nina ushahid nalo kabisaaa..... Kuna mzaz mwenzang tulishatengana kitambo ila tunawasiliana vzr tu na anaishi na mtu mwingine. Kuna siku alinipgia cm usiku saa tano akanambia nakuja kwako ila kwa maongez nkaona hayupo sawa nkamkubalia akaja akazima cm akanambia kam kwao wakipga cm kumuulizia niseme sijui akanambia kuna mtu kamtibua wamegombana sas najua anaish na jamaa yake je alogombana nae nan ikiwa ndiyo anakaa nae nkasema sawa ila ikipgwa cm kwao ntawapa tu ukwel kuwa yupo wapi nkaja kugundua baadae aligombana na uyo jamaa yake na nilipewa penzi tamu balaa.
 
Single Mother ni mke wa mtu, kila siku tunasema hamsikii, mzazi gani atakuruhusu kuoa mke wa mtu??
Mkuu mbona hata wasio single maza wanachapika tu, nadhani mambo mengine ni tabia ya mtu.
 
Jamaa yangu alienda kumtambulisha mchumba wake kwao ambae ni single mother , mama mzazi wa mshikaj akaja juu na kukataa hayo mausiano huku baba yake akiwa kimya , kisha jamaa akamuuliz mama yake mbona wewe baba alikuoa wewe ukiwa na mtoto je kulikua na shida yoyote ile
Aiseee mama alanza kulia na kudai kuwa jamaa kamtukan na kikao cha ukoo kikawekwaa kabs ndan akushikiki
 
Jamaa kanogewa na mbususu ya single maza. Aisee hivi kwa nini mbususu zao zinakuwa tamu sana? Hili inabidi hawa gainakologist wafanyie utafiti
Jamaa anadai kadate na mabinti kadhaa bt hajawahi pata mwanamke kama huyo single maza japo wazazi wanazingua.
 
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Mwanaume anaishi kwa kufuata AKILI sio moyo, ni A K I L I.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru ujinga wake. Muache Rafiki yako aoe tu huyo Single Mother. Aliomba ushauri kama validation tu ila tayari ana maamuzi yake.

Wazazi waliomkataza sio MALOFA, acha aje afundishwe na Ulimwengu kwa vitendo.
 
Mwisho ilikuwaje?
 
Jamaa anadai kadate na mabinti kadhaa bt hajawahi pata mwanamke kama huyo single maza japo wazazi wanazingua.
Inawezekana kabisa maana single maza kashaonja joto lanjiwe so lazima akae sawa. Lakini pia uigizaji upo ujue. Anaweza akawa anataka avae shela na kukata cake ya harusi alafu ndio true colors zikaonekana.

All in all jamaa asilete ujinga. Wanawake single wapo yeye atafute aoe. Huyu single mama abakie kama mcheps wake 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…