Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ke watasema Me waliochangia nao damu kufyatua M (Watoto) huwa wana thamani zaidi kupasha viporo kuliko Me waliowabikiri.Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Church girl's Wana anngalau ukakika 99%Manamke kuliwa kupo tuu wether ameolewa au hajaolewa muhimu wee ndani ya nyumba unapewa mbususu muda unaohitaji...kifupi manamke asikunyime mbususu.
Akiamua kwenda kuonja vibamia vingine hayo ni maamuzi yake and there is nothing u can do about it.
Mhusika anadai kadate na wasio single maza bt hajawahi pata mwanamke mtulivu kama huyo single maza, anaamini huenda ndo soul mate wake.Kwanza Ni kuwatukanisha wazazi kwa kuoa hizo mbanga
Mkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.Single Maza ni mke wa mtu. Utapewa tahadhari zote kabisa ili yakikukuta yakukuta usiseme hukujua.
Hakuna anaye katazwa kuoa single Maza akiamua.
Kuoa single Maza ni uhuru wako kabisa.
Lakini usianze kusumbua watu ukianza kupigwa matukio.
Na hichi ndicho wazazi hawataki.
Ukianza kupigwa matukio unatakiwa ufe nayo mwenyewe usirudi tena kwa wazazi kulia lia na kuomba ushauri.
Mkuu 2 - 0 yanaweza kua mapito tu ya kumpata soulmate wako mtarajiwa.Mechi inaanza sekunde ya kwanza umepigwa 2 - 0 , unafikiri hio mechi unashinda..
Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Dogo,Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Hapa nina ushahid nalo kabisaaa..... Kuna mzaz mwenzang tulishatengana kitambo ila tunawasiliana vzr tu na anaishi na mtu mwingine. Kuna siku alinipgia cm usiku saa tano akanambia nakuja kwako ila kwa maongez nkaona hayupo sawa nkamkubalia akaja akazima cm akanambia kam kwao wakipga cm kumuulizia niseme sijui akanambia kuna mtu kamtibua wamegombana sas najua anaish na jamaa yake je alogombana nae nan ikiwa ndiyo anakaa nae nkasema sawa ila ikipgwa cm kwao ntawapa tu ukwel kuwa yupo wapi nkaja kugundua baadae aligombana na uyo jamaa yake na nilipewa penzi tamu balaa.hiyo ndio mbaya, kila mtoto unakuwa na wasiwasi naye kwamba umechanganyiwa mbegu.
lakini lazima tuelewane hapa hawa single mazas ni easy going, mkikorofishana kidogo anakumbuka baba watoto wake, utasikia "pamoja na kuniacha lakini hajawahi nifanyia hivi" ukisikia kauli hapo ni nyuma geuka mbele tembea
Mkuu mbona hata wasio single maza wanachapika tu, nadhani mambo mengine ni tabia ya mtu.Single Mother ni mke wa mtu, kila siku tunasema hamsikii, mzazi gani atakuruhusu kuoa mke wa mtu??
Mzazi ni Mungu wa pili wanasema hivoMkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
Ushamuoa tayari? Share experience.Mimi mpaka leo sielewan na maza angu,
Mtego huo amewekewa.Mhusika anadai kadate na wasio single maza bt hajawahi pata mwanamke mtulivu kama huyo single maza, anaamini huenda ndo soul mate wake.
😂😂😂Single Mother ni mke wa mtu, kila siku tunasema hamsikii, mzazi gani atakuruhusu kuoa mke wa mtu??
Jamaa anadai kadate na mabinti kadhaa bt hajawahi pata mwanamke kama huyo single maza japo wazazi wanazingua.Jamaa kanogewa na mbususu ya single maza. Aisee hivi kwa nini mbususu zao zinakuwa tamu sana? Hili inabidi hawa gainakologist wafanyie utafiti
Mwanaume anaishi kwa kufuata AKILI sio moyo, ni A K I L I.Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Mwisho ilikuwaje?Jamaa yangu alienda kumtambulisha mchumba wake kwao ambae ni single mother , mama mzazi wa mshikaj akaja juu na kukataa hayo mausiano huku baba yake akiwa kimya , kisha jamaa akamuuliz mama yake mbona wewe baba alikuoa wewe ukiwa na mtoto je kulikua na shida yoyote ile
Aiseee mama alanza kulia na kudai kuwa jamaa kamtukan na kikao cha ukoo kikawekwaa kabs ndan akushikiki
Inawezekana kabisa maana single maza kashaonja joto lanjiwe so lazima akae sawa. Lakini pia uigizaji upo ujue. Anaweza akawa anataka avae shela na kukata cake ya harusi alafu ndio true colors zikaonekana.Jamaa anadai kadate na mabinti kadhaa bt hajawahi pata mwanamke kama huyo single maza japo wazazi wanazingua.