Kwanini wazazi wengi hawapendi tuoe single maza?

Wazazi hawapendi tuoe!!
 
Tunajifanya kukaza shingo tu lakini ukweli ni kwamba kuoa single mother ni aibu na fedhea kwenye familia.
 
Mimi mpaka leo sielewan na maza angu,

Chezea mautamu wewe na pekechepekeche za uteute......πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ashakum si matusi, nadra sana kupata hizo kwa ambao hawajavunja jungo kwa kupitisha fuvu katikati ya mapaja....πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ

Ashakum si matusi, kumradhi hadhira.
 
Mkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
Ni kweli maana wanaochapwa kwenye ndoa wala hawakuwahi kuwa masingle maza. Ni vile tu walitoa mimba wakafuta ushahidi lakini walikuwa makahaba tu
 
kuoa single M, ni mkosi, nux, laana, na una kuwa km una bahati mbaya vile, utachekwa na kebehi juu. wazazi kamwe hawaachani, single M tayari, ni mke wa mtu huyo.
 
Ni kwa sababu unakuta mwanamke kazaa na Kibaka au mtu aliyetokea kwenye ukoo uliolaaniwa, unafikiri huyo mwanaye atakuwa mtoto wa namna gani? Matatizo yake yote ya kiroho utayakabili wewe baba yake wa kufikia.
 
Ma X tu ambao hatukuzaa nao bado wanafeelings na sisi, sembuse mwenye copy yangu.

At your own risk
 
Kuna mmoja alikua na watoto wa2 Sasa nikawa napiga kishkaji tuu, akaanza kuniganda na kuweka mitego ya kunibebea mimba.

Aloo sio kwa mbio zile nilizo kimbia
 
Kwahyo mbususu ambayo imeshapitisha fuvu ni tamu kuliko ile ambayo bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…