- Thread starter
- #81
Kwa wakati tulio nao sasa, hata wasio single maza hawaaminiki pia.Unajua fisi, yeye mlo wake ni mabaki ya vyakula vya wenzie
Sasa amua kuwa simba au fisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wakati tulio nao sasa, hata wasio single maza hawaaminiki pia.Unajua fisi, yeye mlo wake ni mabaki ya vyakula vya wenzie
Sasa amua kuwa simba au fisi.
Story ndefu, nlishawah kushare kwenye uzi flan hapa JF, ila hao watu wanachangamoto sana, kwao hata uwafanyie nn bado hawaoni kuwa unawapendaIlikuwaje mkuu, share nasi tujifunze.
veri truuuKwa wakati tulio nao sasa, hata wasio single maza hawaaminiki pia.
Wazazi hawapendi tuoe!!Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Hii ndo yenyeweSingle maza againnn sikia oa singo mix na mpya
Tunajifanya kukaza shingo tu lakini ukweli ni kwamba kuoa single mother ni aibu na fedhea kwenye familia.Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Mkuu acha ubishi, single mother ni red flag. Fumbo la mustakabli wa mahusiano isiwe sababu ya wewe kubet kwenye red flag.Mkuu mbona hata wasio single maza wanachapika tu, nadhani mambo mengine ni tabia ya mtu.
Mimi mpaka leo sielewan na maza angu,
Ni kweli maana wanaochapwa kwenye ndoa wala hawakuwahi kuwa masingle maza. Ni vile tu walitoa mimba wakafuta ushahidi lakini walikuwa makahaba tuMkuu kumbuka, kuoa asie single maza haikupi quarantee ya kutochapiwa.
Ni kwa sababu unakuta mwanamke kazaa na Kibaka au mtu aliyetokea kwenye ukoo uliolaaniwa, unafikiri huyo mwanaye atakuwa mtoto wa namna gani? Matatizo yake yote ya kiroho utayakabili wewe baba yake wa kufikia.Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent.
Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia anataka kuoa single maza. Yeye anaamini ni mtu sahihi coz ktk miaka 2 ya mahusiano yao, hajaona tabia mbaya, pia anadai ameplay part kubwa kukuza biashara yake.
Mimi nimemshauri afuate moyo wake, coz kuoa asie single maza, haikupi quarantee ya kutopigwa matukio.
Kwa mtizamo wako, unadhani kwa nini wazazi hawataki, tuoee single maza, hasa ikiwa ndoa ya kwanza?
Kwahyo mbususu ambayo imeshapitisha fuvu ni tamu kuliko ile ambayo badoChezea mautamu wewe na pekechepekeche za uteute......😅😅😅
Ashakum si matusi, nadra sana kupata hizo kwa ambao hawajavunja jungo kwa kupitisha fuvu katikati ya mapaja....🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Ashakum si matusi, kumradhi hadhira.
Kwahyo mbususu ambayo imeshapitisha fuvu ni tamu kuliko ile ambayo bado
Nimecheka sana.Kuna mmoja alikua na watoto wa2 Sasa nikawa napiga kishkaji tuu, akaanza kuniganda na kuweka mitego ya kunibebea mimba.
Aloo sio kwa mbio zile nilizo kimbia
Toa uzoeufu boss wangu.Yalinitokea puani haya mambo ya kuwa na singo maza, aisee nimejifunza 🙌