Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

Labda wanazani akiolewa wakwanza mume anaweza kuamua asioe tena ili awe peke yake!
 
Yaone yalivyokuwa maselfish.....🤣🤣🤣🤣 Hiyo yote ni roho mbaya tuu
Zamani watu walikuwa wanaoa wake wawili kwasababu ya nguvu kazi. Unakuta mtu ana mali km mashamba na mifugo. Hakuna watu wakusimamia ila sasa unakuta kijana anà maisha ya kuunga unga naye anataka kuoa mke wa pili kwasabb dini inasema au aliona wazee wake
 
Back
Top Bottom