Zamani watu walikuwa wanaoa wake wawili kwasababu ya nguvu kazi. Unakuta mtu ana mali km mashamba na mifugo. Hakuna watu wakusimamia ila sasa unakuta kijana anà maisha ya kuunga unga naye anataka kuoa mke wa pili kwasabb dini inasema au aliona wazee wake