5 meal day.Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
Wakuu

Lazima uwe kama chakubangaWanakula kwa afya na sio kujaza tumbo, anakula chakula anajua hapa mwili umepata vitamin fulan na inasaidia nini, sasa wewe asubuhi supu, chapati mbili na soda pepsi, mchana unakanyaga ugali, nyama, maharage, na soda fanta, usiku unakula wali na nyama hapo unajionea maajabu yaani kuanzia wewe uwezo wa kufikiri utakua chini. Na hadi watoto utaowazaa level of thinking itakua chini na hutoweza kuyatawala mazingira wala kubuni lolote jema maana automatically una udumavu wa akili toka ukiwa mdogo,
Hujui usemacho na wala huwajui wazungu. Kwanza, unamaanisha wazungu wapi iwapo walio wengi kwa sasa wanasumbuliwa na obesity? Ungekuwa umewahi kuishi Ulaya au Marekani ukaona unene unavyoua wazungu wala usingeleta hoja hii ambayo inaonyesha kutokuelewa kwako. Kama unatumia hawa unaowaona Afrika kwenye ubalozi, basi elewa, wanaandaliwa ili ku-project positive image ya wazungu. Wazungu kimaumbile wana maumbile ya hovyo kuliko waafrika hata wote wakinenepa.Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
😍😍😍😍😍😍😍😍😍Wazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?
40% ya wamarekani ni overweight na obese kutokana na kula hovyo na ulaji usiopangiliwa na inakadiriwa kufikia 2030 60% ya wamarekani watakua overweight kutokana na kula hovyo wewe unasema wazungu hawali sana? Kwa hiyo overweight wameitoa mbinguni?
Ukiangalia mataifa na watu walionenepeana hovyo Duniani utakuja kutuweka sisi waafrika na kula yetu ya hovyo unayoisema?
Shuleni mnasoma nini siku hizi? Yaani sample size ya watu 2 tayari ushafanya conclusion? Aisee.
Hii commment nimecheka sana Dah bongo noma, hapo bado mtu hajapiga k-vangaWanakula kwa afya na sio kujaza tumbo, anakula chakula anajua hapa mwili umepata vitamin fulan na inasaidia nini, sasa wewe asubuhi supu, chapati mbili na soda pepsi, mchana unakanyaga ugali, nyama, maharage, na soda fanta, usiku unakula wali na nyama hapo unajionea maajabu yaani kuanzia wewe uwezo wa kufikiri utakua chini. Na hadi watoto utaowazaa level of thinking itakua chini na hutoweza kuyatawala mazingira wala kubuni lolote jema maana automatically una udumavu wa akili toka ukiwa mdogo,
Boss hoja yako nzuri lakini Kifupi tu ndugu, wamarekani sio wazungu. Wazungu wannatoka ulaya pekeeWazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?
40% ya wamarekani ni overweight na obese kutokana na kula hovyo na ulaji usiopangiliwa na inakadiriwa kufikia 2030 60% ya wamarekani watakua overweight kutokana na kula hovyo wewe unasema wazungu hawali sana? Kwa hiyo overweight wameitoa mbinguni?
Ukiangalia mataifa na watu walionenepeana hovyo Duniani utakuja kutuweka sisi waafrika na kula yetu ya hovyo unayoisema?
Shuleni mnasoma nini siku hizi? Yaani sample size ya watu 2 tayari ushafanya conclusion? Aisee.
Wana uhakika wa mlo unaofuata!Wakuu