Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afya zetu ni mgogolo kweli?!Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
Kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je, kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
America wanazalisha zaidi ya 34% ya mahindi duniani ndo bara inayolima sana mahindi ila ugali unaliwa sana na wa Africa wao wazungu wanalisha mifugo hayo mahindiWazalendo wata kuchapa we[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I was just thinking this.. Binadamu siku hizi tunakula sana. Na tunakula for taste tu na kwasababu kipo wala sio njaa wala afya.Kwanza tabia ya kusema lazima ule mara tatu kwa siku sio ustaarabu hiyo ni addiction tu ya kijinga,
Hata wewe ukipata hela nyingi utakuwa husikii njaaWakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
Kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je, kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
Kula sana ama kula kidogo ni suala ambalo hata mimi pia hunishamgaza sana.Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
Kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je, kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
Weka hiyo milo mibaya kwa siku na milo mingi tujuwe kama inafanana na milo yetu ya Kiafrica.umeandika ila ka hujatoa point, hakuna kanunu ya lazima ule milo kumi ama mitatu ama mitano,
Swala ni mtu kula pale unaposikia njaa na yafaa mtu kula kulingana na mpangilio mzuri wa viini lishe si unakariri kula maratatu yani kifungua kinywa chakula cha mchan na usiku,
Hao wazungu wanasumbuliwa na ulaji mbaya na inatokana na kuwa na milo ngingi kwa siku, mfano watu toka Marekani na Ulaya,
ila tuache masighara wazungu ni wakubwa, wametanuka afu warefu, sijui ni kwanini, anayejua anipe sababu.Wakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
Kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je, kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
Hiyo tunagonga sisi mlo mmoja tu chali.haao jamaa wanakula mara 5 km nilivyoorodhesha baada ya hapo ni maji tu au kahawa.wamelelewa hivyo.Umesahau ugali+kitimoto+mnafu.