Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Huu ukweli unauma sana!! Sisi tunakula kujaza matumbo, hatuli kwa kuzingatia ubora wa chakula kiafya!Wanakula kwa afya na sio kujaza tumbo, anakula chakula anajua hapa mwili umepata vitamin fulan na inasaidia nini, sasa wewe asubuhi supu, chapati mbili na soda pepsi, mchana unakanyaga ugali, nyama, maharage, na soda fanta, usiku unakula wali na nyama hapo unajionea maajabu yaani kuanzia wewe uwezo wa kufikiri utakua chini. Na hadi watoto utaowazaa level of thinking itakua chini na hutoweza kuyatawala mazingira wala kubuni lolote jema maana automatically una udumavu wa akili toka ukiwa mdogo,