Sio wazungu hata hapa bongo kuna baadhi ya watu wachache kutokana na nature ya kazi zao wapo very smart shobo kwenye misosi sio kivile yaani mnatengewa mezani hotpots kama tano au sita zenye mososi tofauti tofauti pia kuna maji na soda lakini mtu anasave msosi kiasi tu anachukua maji madogo anatulia zake, sasa wenzangu na mimi anakimbilia msahani mkubwa anachota wali mweupe, pilau, maharage, njegere, ndizi za kupikwa, nyama ya kuku na ya ng'ombe kwenye vinywaji anachukua maji madogo matatu soda mbili yaani sahani ina bonge ya lumbesa vinywaji mpaka anaomba asaidiwe kubeba na hapo bado hajachukua matunda [emoji23][emoji23][emoji23].