Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

Wazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?

40% ya wamarekani ni overweight na obese kutokana na kula hovyo na ulaji usiopangiliwa na inakadiriwa kufikia 2030 60% ya wamarekani watakua overweight kutokana na kula hovyo wewe unasema wazungu hawali sana? Kwa hiyo overweight wameitoa mbinguni?

Ukiangalia mataifa na watu walionenepeana hovyo Duniani utakuja kutuweka sisi waafrika na kula yetu ya hovyo unayoisema?

Shuleni mnasoma nini siku hizi? Yaani sample size ya watu 2 tayari ushafanya conclusion? Aisee.
wamarekani sio wazungu mkuu, wazungu ni waingereza!!
 
Sio wazungu hata hapa bongo kuna baadhi ya watu wachache kutokana na nature ya kazi zao wapo very smart shobo kwenye misosi sio kivile yaani mnatengewa mezani hotpots kama tano au sita zenye mososi tofauti tofauti pia kuna maji na soda lakini mtu anasave msosi kiasi tu anachukua maji madogo anatulia zake, sasa wenzangu na mimi anakimbilia msahani mkubwa anachota wali mweupe, pilau, maharage, njegere, ndizi za kupikwa, nyama ya kuku na ya ng'ombe kwenye vinywaji anachukua maji madogo matatu soda mbili yaani sahani ina bonge ya lumbesa vinywaji mpaka anaomba asaidiwe kubeba na hapo bado hajachukua matunda [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Umeona kwenye movie au wapi? Wazungu wanakula, tena kupita kiasi. Tafuta mtu aliyeishi nao au kufanya kazi nao atakuambia.
 
Mzungu hakosi mayai, Karanga, sausage, tambi, chocolate na popcorn ndani...bado juice soda na maji na bado anatafuna muda wote...!

Mpaka jamaa aone Ugali mkubwa na dagaa pembeni ndio ajue wanakula [emoji23]
 
Wazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?

40% ya wamarekani ni overweight na obese kutokana na kula hovyo na ulaji usiopangiliwa na inakadiriwa kufikia 2030 60% ya wamarekani watakua overweight kutokana na kula hovyo wewe unasema wazungu hawali sana? Kwa hiyo overweight wameitoa mbinguni?

Ukiangalia mataifa na watu walionenepeana hovyo Duniani utakuja kutuweka sisi waafrika na kula yetu ya hovyo unayoisema?

Shuleni mnasoma nini siku hizi? Yaani sample size ya watu 2 tayari ushafanya conclusion? Aisee.
huyo hajatembea.nimefika uholanzi wapo wengi tu wanajaza sahani na wanamaliza
 
Wazungu wako 2 hao uliokutana nao ndio uje kututolea mfano hapa?

40% ya wamarekani ni overweight na obese kutokana na kula hovyo na ulaji usiopangiliwa na inakadiriwa kufikia 2030 60% ya wamarekani watakua overweight kutokana na kula hovyo wewe unasema wazungu hawali sana? Kwa hiyo overweight wameitoa mbinguni?

Ukiangalia mataifa na watu walionenepeana hovyo Duniani utakuja kutuweka sisi waafrika na kula yetu ya hovyo unayoisema?

Shuleni mnasoma nini siku hizi? Yaani sample size ya watu 2 tayari ushafanya conclusion? Aisee.

Kunywa pepsi bro
 
Mzungu hakosi mayai, Karanga, sausage, tambi, chocolate na popcorn ndani...bado juice soda na maji na bado anatafuna muda wote...!

Mpaka jamaa aone Ugali mkubwa na dagaa pembeni ndio ajue wanakula [emoji23]
Wanapiga vyombo kinoma.. Mimi nimefanya nao sana kazi wakiwa katika exchange programs; kwanza walikuwa wanashangaa small portions zetu, yaani Soda 350ml. Wanaona kama utani. Wadada wanagonga chipsi mayai mbili; tunabaki tunatoa tu macho
 
Sio wazungu hata hapa bongo kuna baadhi ya watu wachache kutokana na nature ya kazi zao wapo very smart shobo kwenye misosi sio kivile yaani mnatengewa mezani hotpots kama tano au sita zenye mososi tofauti tofauti pia kuna maji na soda lakini mtu anasave msosi kiasi tu anachukua maji madogo anatulia zake, sasa wenzangu na mimi anakimbilia msahani mkubwa anachota wali mweupe, pilau, maharage, njegere, ndizi za kupikwa, nyama ya kuku na ya ng'ombe kwenye vinywaji anachukua maji madogo matatu soda mbili yaani sahani ina bonge ya lumbesa vinywaji mpaka anaomba asaidiwe kubeba na hapo bado hajachukua matunda [emoji23][emoji23][emoji23].

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipo slim kinyama japo nagonga menu ya Haja yenye mchanganyiko wa vitamin mblmbl lkn wapi...

Kuna siku naweza kuwa kama richforever
Nunua unga wa lishe unaitwa Mama Roda ndio maarufu na uliondaliwa vizuri unapatikana supermarkets kwa 4000 kwa mfuko, changanya na maziwa fresh na siagi. Tumia kwa mwezi ulete mrejesho, nimetumia kwa uzembe wangu wa kula nikaongezeka kilo mbili ndani ya 2 months jambo ambalo halijawahi tokea within a year
 
Sawa,una ujazo kiasi gani huo unga kwa huo mfuko?
Nachanganya na maziwa Kiaje ndugu ?
Nipe kisomo jamaa
 
Mfuko ni 1kg, kama bei itakuwa kubwa kwako nunua huo kwanza then utasoma mchanganyiko wa ngano, ulezi, mahindi, etc kwenye ratio imeandikwa baadae utasaga kwa mchanganyiko huo. Maziwa unatia wakati unapika uji, siagi unatia kwenye kikombe unakoroga. I hope hujawahi tumia uji maana huu utaratibu ni universal kibongo bongo
 
Wakuu

Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.

Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.

Kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.

Je, kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
Umeshawahi kwenda kwenye harusi au sherehe yoyote, mtu anapita na sahani yake na kila kitu ataweka hata asivyokula mradi kachanganya vyote wenzetu atapita na kuchukua kile anachokitaka kula sio sio umechanganya ndizi, wali, chips, kuku, mishkaki, kachumbari, samaki, pilipili, maharage. mchuzi wa nyama hapa hujatupia ndizi muhimu unanyosha sahani tu na bahati wahudumu anakutizama machoni na kukutupia kidogo ingekuwa ndio unabeba mwenyewe hatari
 
Dull and shallow thread.
Bado huja observe kitu kajifunze zaidi.
Tatizo la obesity lipo zaidi Western world iweje uje na hiyo conclusion. Na nyie ndio stereotypes umeona zungu moja unakuja na conclusion. Wazungu wengi wanakula sana ila kidogo kidogo kwa gaps. Kwa siku anakwenda mpaka 5 meals.
 
Kwani wazungu ndio nini hadi wanachofanya wao kiwe sahihi na sisi tuonekane tunakosea??
Acha kutukuza binadamu wenzako.

Halaf mambo ya afya mbona waafrika tuna afya tele.
Simple qn... Huyo anayekula dona na maharage + dagaa na huyo aliyekula sandwich + juice za viwandani nani kala chakula cha afya hapo?
Yes hoja nyingine hii.
Ni kweli hawa watu wametuzidi mbali.
Lakini, si kila kitu kipimo kiwe chao.
Yaani kwa kuwa wao wanafanya 1,2,3 basi nasi lazima iwe hivyo. Hili huwa lanikera sana.
 
Back
Top Bottom