mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Jamaa akina nani?Fanya utafiti mzee, hiyo sio kweli jamaa wanakula hakuna mfano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa akina nani?Fanya utafiti mzee, hiyo sio kweli jamaa wanakula hakuna mfano.
Sawa sawa Joe Biden na Trump na Clinton wamekusikiaBoss hoja yako nzuri lakini Kifupi tu ndugu, wamarekani sio wazungu. Wazungu wannatoka ulaya pekee
Umesahau kuokoteza mitaani kama watu wa Dar.Muhindi, juis, biskuti, maji, kalmati,sambusa,donati nk.wanajaza mitumbo kila mda.5 meal day.
Before breakfast
Breakfast
Before lunch
Lunch (bread&fruit) included
After lunch(smooth youghort)
Dinner sa moja si zaidi.
Huyo mtu unafkiri atakua na njaa ya kula ugali na kitimoto
Umelemba ili iweje kwba tuige ulaji wao. Mivyskula iliodondikwa ina ubora gani.Junk food ndio chakula cha maana.Wanakula kidogo Ili chakula kisagike tumboni na kuhisi njaa Ili ale tena kidogo, kingine wanakula kidogo vyakula vinavyojenga mifupa sana kuliko nyama za nje na sisi tunakula zaidi kujenga nyama za mwili kuliko mifupa, kuhusu vyakula vya supermarket ni sawa ndo wananunua ila wananunua vile asilia na Bora ambavyo ukila mwili unakuwa umepata lishe kamili mfano wao wananunua butter iliyosindikwa kutoka maziwa inafaida zote mwilini sisi tunanunua blue band ambayo ni mafuta tu, wanatumia cheese iliyotolewa kwenye maziwa mgando sisi tunatumia maziwa mgando yaliyochakachuliwa hiyo jibini, vingine wanakula kidogo kwa kipimo cha siku kinachorusiwa kiafya na kuacha tumbo lifanyekazi Ili akili isilale ila sisi tunashibisha tumbo kupita kiasi mpaka mtu anasikia usingizi baada ya kula.
kiporo cha makande au wali maharage ..ndiyo maana tuna rasilimali zoooote lakini hatutoboi ...kila siku stori kuhusu rasilimali tulizonazo lakini tunabaki masikini wa kutupwaWanakula kwa afya na sio kujaza tumbo, anakula chakula anajua hapa mwili umepata vitamin fulan na inasaidia nini, sasa wewe asubuhi supu, chapati mbili na soda pepsi, mchana unakanyaga ugali, nyama, maharage, na soda fanta, usiku unakula wali na nyama hapo unajionea maajabu yaani kuanzia wewe uwezo wa kufikiri utakua chini. Na hadi watoto utaowazaa level of thinking itakua chini na hutoweza kuyatawala mazingira wala kubuni lolote jema maana automatically una udumavu wa akili toka ukiwa mdogo,
Umeelewa nilichomaanisha au unataka uchokozi? Haya nasisitiza wanakula chakula kidogo na kwa afya tena hizo unaita junk food wao wanakula kilichobora, unajua utofauti wa butter na margarines Sasa mzungu ananunua butter iliyotoka kwenye maziwa ndo anapaka mkate then anatost kidogo anakunywa na chai ambayo butter inarudisha collagen na hizo margarine unajaza mafuta tu, na akila vitu vya ngao anaweka cheese sisi tunakula chapati na maandazi yenye chumvi au sukari bila kupaka hata butter, nenda muda wa kula lunch wakati bugger imewekwa mbogamboga mbichi na cheese kwa wingi wewe utakula ugali mkubwa uliojaa wanga na mboga zilizopikwa mpaka zikapoteza virutubisho vyote na baada ya kula unasikia usingizi kwa kujaza tumbo na kama upo kwenye kikao hata hoja zako zinageuka kuwa za ajabu ajabu tu maana tumbo limelemewa na uzito wa chakula kupitiliza, hao wajapani unaosema wanakula vizuri pia bado ni weupe ni jamii moja ila wao wanapenda mwonekano wa ngozi nzuri mpaka uzeeni ndo maana wanapenda kula vyakula vya vizuri vya kuweka muonekano wao ubaki wa ujana au utoto kikubwa kula chakula kidogo na kizuri kwenye Nchi za kiafrika ni gharama sana maana vizuri tunavigawa kwa wazungu mfano hizo jibini na butter vitu vilivyopewa sifa mpaka mbinguni vikiliwa Kila siku ni afya tele hata na asali angalia bei yake wakati sisi tunalilia minyama tele wenzetu wanalilia product zilizotoka kwenye maziwa zenye afya tele.Umelemba ili iweje kwba tuige ulaji wao. Mivyskula iliodondikwa ina ubora gani.Junk food ndio chakula cha maana.
Mnapenda kuonesha kuwa wazungu kila kitu wapo sahihi wakati mambo mengi tu hawapo sawa likiwepo la chakula.
Mbona wajapani wana lishe nzurri zaidi kuliko hao wazungu.
Sio kweli.Wazungu wanakula zaidi vyakula vilivyochakatwa viwandani(processed foods) na vyenye sukari nyingi ambavyo ni vyakula vibaya sana kwa afya.
Haya mkuu, siwezi kuyazuia mahaba yako kwa wazungu.Umeelewa nilichomaanisha au unataka uchokozi? Haya nasisitiza wanakula chakula kidogo na kwa afya tena hizo unaita junk food wao wanakula kilichobora, unajua utofauti wa butter na margarines Sasa mzungu ananunua butter iliyotoka kwenye maziwa ndo anapaka mkate then anatost kidogo anakunywa na chai ambayo butter inarudisha collagen na hizo margarine unajaza mafuta tu, na akila vitu vya ngao anaweka cheese sisi tunakula chapati na maandazi yenye chumvi au sukari bila kupaka hata butter, nenda muda wa kula lunch wakati bugger imewekwa mbogamboga mbichi na cheese kwa wingi wewe utakula ugali mkubwa uliojaa wanga na mboga zilizopikwa mpaka zikapoteza virutubisho vyote na baada ya kula unasikia usingizi kwa kujaza tumbo na kama upo kwenye kikao hata hoja zako zinageuka kuwa za ajabu ajabu tu maana tumbo limelemewa na uzito wa chakula kupitiliza, hao wajapani unaosema wanakula vizuri pia bado ni weupe ni jamii moja ila wao wanapenda mwonekano wa ngozi nzuri mpaka uzeeni ndo maana wanapenda kula vyakula vya vizuri vya kuweka muonekano wao ubaki wa ujana au utoto kikubwa kula chakula kidogo na kizuri kwenye Nchi za kiafrika ni gharama sana maana vizuri tunavigawa kwa wazungu mfano hizo jibini na butter vitu vilivyopewa sifa mpaka mbinguni vikiliwa Kila siku ni afya tele hata na asali angalia bei yake wakati sisi tunalilia minyama tele wenzetu wanalilia product zilizotoka kwenye maziwa zenye afya tele.
Unamaintain figure au?Itakua basi nami mzungu ila rangi kama yao imegoma,imagine mi nakula tu mchicha usiku for dinner na kiazi kitamu na yai la kuchemsha for breakfast,
Yani ndo my daily routine
YeahUnamaintain figure au?
HongeraYeah
Nimekataa kitambi
Unaogopa kunywa bia Kila siku kwani zinang'ata?Kwanza tabia ya kusema lazima ule mara tatu kwa siku sio ustaarabu hiyo ni addiction tu ya kijinga, na ndio maana kutokana na tunavokula siku hizi unajionea maajabu tu watu ni kama wamechanganyikiwa, kwa mfano kuna ulazima gani kunywa spirits kila siku au bia kila siku? Na kutokana na kutokua na uwezo wa kumanage hayo madogo ndio maana hata Saving kwa blacks ni mtihani dunia nzima inabaki mzungu akifanya saving akija kutalii tunamuona tajiri kumbe aliweza kumanage na kusave
Kula sana inategemea na afya yako na maandalizi ya chakulaWakuu
Kuna wazungu flan nilikua nao kwenye kuwasaidia project yao flani,so tukawa tuna ukaribu ambao mara nyingi tulijikuta muda wa lunch tunakua pamoja.
Wazungu pamoja na kuwa na mamiili makubwa but sio walaji wa chakula kingi kama sisi waafrika. Utakuta muda wa lunch mzungu anakula sandwich moja tu na juisi nusu glass anashiba. Back to sisi waafrika sasa.
Kwanza kuna mwingine bila kula ugali anaona hajala kabisa na muda huo huo afya zetu ndio hizi mgogoro.
Je, kuna siri gani kwa wazungu kula msosi kidogo?
Utakuja ufe wewe.Itakua basi nami mzungu ila rangi kama yao imegoma,imagine mi nakula tu mchicha usiku for dinner na kiazi kitamu na yai la kuchemsha for breakfast,
Yani ndo my daily routine