Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

Waz
Ungu wa wapi ...taifa gani,
 
Tatizo nyie hamjawahi kuishi na wazungu kule kwao, mnaona moja moja hapa wanao kuja kutalii au kufanya kazi kwa mda, ila ukweli wazungu wana kula sana ×2 ya wa Africa na wengi wana obesity......ulaji wao una weza kuuliganisha na kuku wa kufuga wa nyama broilers.
 
Kwani wazungu ndio nini hadi wanachofanya wao kiwe sahihi na sisi tuonekane tunakosea??
Acha kutukuza binadamu wenzako.

Halaf mambo ya afya mbona waafrika tuna afya tele.
Simple qn... Huyo anayekula dona na maharage + dagaa na huyo aliyekula sandwich + juice za viwandani nani kala chakula cha afya hapo?
 
Hii pia mimi nimeshangaa sana yaani wazungu wawili kumemfanya hatutoe akili wa Afrika wote
 
Now days shuleni tunasomea ujinga😁😁😁
 
Hujuwi usemalo

Wazungu kwa siku wanakula mara 5

Kwahiyo huwezi kuwafananisha na sisi tunaokula mara 3 au 2 au mara 1

Matatizo ya uzito kupita kiasi yapo ulaya siyo Africa

Jiongeze mzee
 
Inawezekana labda hawali chakula kibngi wakiwa huku, ila kwao wanakula sana nadhani sababu ya baridi. |Kuna siku niikwenda nao field sehemu moja inaitwa Maastrcht. Wakati tunarudi jioni tukapita kula dinner kwenye mji mmoja unaitwa Breda. Cha kuanzia tukaletewa starter kwanza, ambayo ulikuwa ni mlo kamili. Nilikula starter nikatosha na sikuimaliza.

Chakula kingine kilipokuja sikukigusa, lakini wenzangu walifuta vyote kuanzia starter mpaka dinner yenyewe. Kwao wanakula zaidi sababu ya baridi, na inawezekana huku hali ya hewa ambayo hawajaizoea inapelekea mabadiliko kwenye metabolism/ digestion processes zao na hivyo wanashindwa kula katika kiwango kile ambacho sisi huwa tunakula
 
5 meal day.
Before breakfast
Breakfast
Before lunch
Lunch (bread&fruit) included
After lunch(smooth youghort)
Dinner sa moja si zaidi.
Huyo mtu unafkiri atakua na njaa ya kula ugali na kitimoto
Umesahau ugali+kitimoto+mnafu.
 
Kwanza wapi nimesema hao wazungu ni wamarekani?
 
Mtoa mada kunajambo kama upo nalo kushoto
Wengi wanakuwa na kawaida ya kuwa na milo mingi kwa siku mtu mmoja kwa siku anakuwa na milo zaidi ya mitano, kwa hali hiyo hat aikifika hiyo lunch time hawezi kula ka wee uliye kariri milo mitatu ikiwa kama ndo kanuni kwako,

We mwenye kunywa chai na kungoja saa saba lazima uwe na njaa ya kutosha tofauti na wao ambao mpaka afike mchana anakuwa kashapitia kama milo mitatu.

Watu ambao wanaongoza kula sana ni watu toka Marekani na Watu toka bara la ulaya,
 
Umeandika ila ka hujatoa point, hakuna kanunu ya lazima ule milo kumi ama mitatu ama mitano,
Swala ni mtu kula pale unaposikia njaa na yafaa mtu kula kulingana na mpangilio mzuri wa viini lishe si unakariri kula maratatu yani kifungua kinywa chakula cha mchan na usiku,

Hao wazungu wanasumbuliwa na ulaji mbaya na inatokana na kuwa na milo ngingi kwa siku, mfano watu toka Marekani na Ulaya,
 
Kuna vitu vinasababisha mwili wa mtu mmoja ku consume energy nying zaid ya mwingn mfano muscular composition, weather na mengine. Lakn pia mtu mwingn anakula mlo mmoja kwa siku mwingne milo 4 adi 5 sasa ukikaa na hawa utaona ulaji tofauti
Umenena vyema mkuu. mtu anashindwa kuona tofauti kati ya mtu anaekula milo mingi kwa siku mfano milo mitano mpaka sita na yule wa mlo mmoja mpaka mitatu per day, mtu mwenye milo michache akila anakula kushiba maana anakuwa na masaa mengi pasipo kula tena
 
Aise bora umelisemea hili, kukaa na wazungu wawili wenye tabia fulani, basi ishakua tabaia ya wazungu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…