Kwanini wazungu ni wachoyo wa chakula?

Ni kweli, kama chakula wameandaa chao ukaenda bila taarifa , hesabu yako hamna uende umeshiba.
Mfano umemuita dada wa saloon aje kukusuka single plate kwako. Unategemea aje na wali maharage amebeba? Huwa wanajua budget ya chakula kwa siku hiyo ime save tena na soda juu
 
Wazungu sio WACHOYO....wanakwenda kwa HESABU,,,maisha yao yote ni HESABU,,,akipata mshahara anatenga kuanzia KODI YA NYUMBA,,atanunuwa CHAKULA CHA MWEZI MZIMA,,,kwa ajili yake na FAMILY YAKE,,,Umeme,,Maji ,,ada za watoto shule,,, kinachobakia ANA SAVE kwa ajili ya mambo mengine,,,, hata akitoka asubuhi anatoka na CARD ya BANK for emergency,,, na cash kiasi kidogo,,,,vitu visivyo na msingi haina nafasi kwake,,,,sisi WASWAHILI hatuna mahesabu na PESA ZETU...utakuta mtu anatembea na cash hadi milioni mfukoni,,,akiona KARANGA,,KASHATA,,KAONA FILIMBI,,yeye ananunuwa tu ,,,yaani mradi tu UCHAFUZI WA FEDHA,,wala hana HESABU YA MATUMIZI YAKE,,vitu visivyo na msingi ndy tunayoyaona ya msingi,,,wenzetu hawakubali kuharibu BUDGET ZAO bila sababu za msingi...mambo ya kuvizia LUCH TIME ukavamia kwake utawapa watu lawama,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda nyumbani kwa Mwarabu au Mwafrika, uwakute wanakula wanaami wewe kujumuika nao ni baraka.
Chakula kinapikwa kingi kwenye sufuria.

Ingawa kuna research iloonyesha tabia hii huchangia obesity kwa watoto wa ethnic minority Ulaya
 
Wanaenda na budjet ila sisi ukarimu unatugharimu , eti wape wageni chakula Mungu kawaleta na atatuzidishia kingine . Ufanye uzembe ili Mungu akuzidishie!! Wazungu budjet ni sehemu ya maisha yao ndio maana wanaendelea . Mwafrika akiweka budjet ataitwa mchoyo , kuanzia leo acha niitwe mchoyo , budjet kwa kwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kuwa KABILA LA WAHAYA kule mkoani Kagera nao wanatabia kama hao WAZUNGU!!!!
 
Hii nimekuelewa maana inawezekana mko kwenye shughuli ya kazi nyumbani kwake. Saa ya chakula anakuuliza the ulibeba chakula chako? Anaweza kukuruhusu utumie microwave yake. Vinginevyo anakuacha tu na kwabahati ukimuon ana jinafasi wala haoni aibu.
Ni watu wa ajabu sana hasa waingereza ni tofauti na wengine kabisa
Irish wazuri sana na italians pia kwani wana maadili kama ya kwetu

Sent from my SM using Tapatalk
 
Ni watu wa ajabu sana hasa waingereza ni tofauti na wengine kabisa
Irish wazuri sana na italians pia kwani wana maadili kama ya kwetu

Sent from my SM using Tapatalk
Yaa Waingereza usipokuwa mroho wa chakula mtaelewana sana.
 
hiyo yote mambo ya bajeti tu mama
 
Mfano umemuita dada wa saloon aje kukusuka single plate kwako. Unategemea aje na wali maharage amebeba? Huwa wanajua budget ya chakula kwa siku hiyo ime save tena na soda juu

Huyo si kaja kwa appointment sasa
 
Kaskazini wanasemaga"Asee jombaaa inakuwaje nakuja kwako unanyima Mavi arifu"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…