Wazungu sio WACHOYO....wanakwenda kwa HESABU,,,maisha yao yote ni HESABU,,,akipata mshahara anatenga kuanzia KODI YA NYUMBA,,atanunuwa CHAKULA CHA MWEZI MZIMA,,,kwa ajili yake na FAMILY YAKE,,,Umeme,,Maji ,,ada za watoto shule,,, kinachobakia ANA SAVE kwa ajili ya mambo mengine,,,, hata akitoka asubuhi anatoka na CARD ya BANK for emergency,,, na cash kiasi kidogo,,,,vitu visivyo na msingi haina nafasi kwake,,,,sisi WASWAHILI hatuna mahesabu na PESA ZETU...utakuta mtu anatembea na cash hadi milioni mfukoni,,,akiona KARANGA,,KASHATA,,KAONA FILIMBI,,yeye ananunuwa tu ,,,yaani mradi tu UCHAFUZI WA FEDHA,,wala hana HESABU YA MATUMIZI YAKE,,vitu visivyo na msingi ndy tunayoyaona ya msingi,,,wenzetu hawakubali kuharibu BUDGET ZAO bila sababu za msingi...mambo ya kuvizia LUCH TIME ukavamia kwake utawapa watu lawama,,
Sent using
Jamii Forums mobile app