Kwanini wazungu ni wachoyo wa chakula?

Kwanini wazungu ni wachoyo wa chakula?

Wanaishi kwa bajeti maana hata ukipigiwa simu mtoke out kula mtu anajitegemea sio huku kwetu tunawaza ofa tu.

Nilipokua masomoni nilipata shida sana kula mbele yao bila kuwaambia karibu wao wanabugia tu husikii karibu wala nn labda vibiscuit tena huyo anawaandaa siku kadhaa mbele.

Borthday kila mtu anaemda na kinywaji chake pale ni kucjeza music na kukaa pamoja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu na bajet zao kimjini zaidi.

Nakumbuka nyumbani kijijini huwezi kwenda ukakuta eti watu wamekula chakula kimeisha? Haijawahi tokea.
Wakipika chakula cha mchana lazima waongeze cha ngeni ambae atajitokeza pia na cha watoto watakachokula mida ya jioni kabla ya chakula cha usiku.

Haya maisha ndo nilikulia mimi. Umenikumbusha mbali.nyumbani chakula hakiishagi.

Ikitokea kikaisha mgeni akiingia tu fasta ashapikiwa.

Nirudi kwenye mada waafrika tuna tamaduni tofauti na wenzetu.

Wakati tunakuwa mama alinifundisha hivi, kamwe nisimyime mtu chakula hata kama hajaniomba.

Pili mgeni asitoke ndani bila kula chochote, yaan mlazimishe hata maji au chai.
Wazungu ndivyo walivyo.inabidi kuwazoea tu hakuna namna.najua sio wote wengine wakarim saana

Wakijaga kwetu ni tofauti yaani kama ofisin wakifika tu nawaandalia chai msosi na ni watu wa kushukuru sana, yaan hizo care unazompa, karibu chai ,msosi wanazithamini sana anaweza kushukuru nusu saa. Afu akirudi africa anakuletea mdoliiiiiiii snacks etc.ahaaa

Mm ambao nimekutana nao sio wachoyo.
You are really something, ningekupa likes 100.
Natamani kila mwanamke wa kibongo wa kizazi hiki angeisoma hii.
 
Back
Top Bottom