X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Huo ni uongo.
Polisi, Magereza na JWTZ Wana vitengo vyao vya intelligence na ni askari wenzao ambao hawahusiani ja TISS.
Ni sawa tu, na MP (Military Police) wa JWTZ huwezi kusema MP ni police.
Kwanza TISS mafunzo yao ni mepesi na ya kawaida tu, ndio maana wanaitwa Jeshi Usu Kama ilivyo mgambo, polisi, Magereza, Uhamiaji. Wanaojifunza silaha nzito ni JWTZ pekee
wangekuwa USU wasingepewa jukumu la kuwalinda viongozi waandamizi...
kitengo cha jwtz unacho kihusisha na TISS kinaitwa IO....ama INTELLIGENCE OFFICER...na hii ilitokana na kipindi kile jeshi lilivyo asi Polisi walianza kunusa hatari ya Uasi wa JESHI wakauzima hapo ndipo chuki kati ya jwtz na Polisi ilipo zaliwa baada ya Uasi huo kumalizwa waliunda kikosi cha INTELLIGENCE OFFICER ili Polisi wasije wakaingia kuchunguza JWTZ maana ingeleta kisasi na ingesababisha wachapane RISASI🤣🤣🤣
INTELLIGENCE OFFICER awa kazi yao ni kuratibu na kunusa tabia za hatari ndani ya Jeshi...ni kama MP tu....MP ni MILITARY POLICE ambao kazi yao ni kutuliza nidhamu ndani ya Jeshi na MP wana mafunzo ya ziada kama ya Polisi.
IO wana mafunzo ya ziada kama ya TISS lakini taaruma hiyo ni kwaajili ya nidhamu ya Ndani ya Jeshi na sio NJE ya jeshi...
kitu cha msingi ambacho pengine wengi atukielewi ni kuwa majeshi yote tuliyo nayo yanafanya kazi kama Cheni ya baiskeli kwa kifupi yanategemeana...! ndio maana hata kule HANANG kulipo tokea mafuriko majeshi yote yamehamia huko...awajawaachia ZIMAMOTO ambao ndio wenye jukumu la uokoaji...
na kwa historia ya majeshi hapa nchini majeshi yote yamezaliwa ndani ya jeshi la Polisi,🤣🤣🤣
ila baadae lilipo undwa Jeshi la Wananchi Mkuu wa majeshi ikaamliwa atoke ndani ya JESHI la Wananchi ndio maana vazi la jeshi ukilichunguza vizuri lina Rangi za majeshi yote tuliyo nayo...
TISS kazi yao ni kunusa Hatari ndani na nje ya mipaka yetu...baada ya TISS kuwa na Taarifa zisizo na mashaka taarifa za uhakika. mfano tishio la ugaidi taarifa hiyo Tiss wataipeleka kama ilivyo ndani ya jeshi la polisi kisha polisi watashughurika nayo ikiwemo kuwatia mbaro washukiwa wa ugaidi na kuwafikisha mahakamani kama itawezekana ikishindikana watawalaza Chini...😭😭😭
TISS wakipata hatari nje ya mipaka yetu kuwa kuna nchi inajaribu kuleta fyoko fyoko... wataipeleka hiyo taarifa ndani ya Jwtz kisha JWTZ watafanya kazi yao...
kwa hiyo majesho yote yana shirikiana ila TISS tu ndio wenye uwezo wa kufanya kazi kwenye majeshi yote na sekta zote hapa nchini.