Kwanini wengine Wakifa Rais Samia hawapi Mamilioni ya Shilingi kama alivyofanya kwa huyu Sheikh Muhammad Idi?

Hivi unadhani Ata tundu lisu akiwa rais hawezi kuipendelea singida
Aisee..., huyu mama mbn anachezea pesa zetu kiasi hiki? Analeta mambo ta udini? Zinamtosha kweli? Huyo mtu ana uspesho gani. Huyu mswahili haoni ht aibu.
 
Kuna mambo mtu unashindwa kuelewa mantiki yake kwa sababu leo hii ukienda mahospitalini utakuta wagonjwa kadhaa wanashindwa kufanya matibabu kwa kukosa fedha lakini huku kuna marehemu familia yake wanapewa mamilioni wagawane! Kwa sababu hizo fedha zilizotolewa hazimsaidii chochote marehemu.
Lakini ingekuwa vyema wananchi tuelezwe hizo fedha ni fedha binafsi za Samia au fedha za serikali? Kama fedha binafsi za Samia sawa lakini kama ni fedha za serikali huo utakuwa ni ubaguzi kwanini wengine wapewe wengine wasipewe?
Ila yote kwa yote nionavyo kwa sasa tunapitia kipindi kigumu kiongozi.
 
Hawa wavimba macho hawana akili.Kazi yao udini tu.Wakipewa wao ni sawa wakipewa wengine kuna udini.Wanasumbuliwa na chuki na ujinga
 
Hawa wavimba macho hawana akili.Kazi yao udini tu.Wakipewa wao ni sawa wakipewa wengine kuna udini.Wanasumbuliwa na chuki na ujinga
Taka taka kabisa.
 
Chuki zinakusumbua.Wakipewa hao unaowataka hu comment kwa sababu unadhani ni haki yao ila wakipewa wengine ni ubaguzi.
 
Kionngozi wa mojawapo ya Jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM, BAKWATA n.k amefariki. Hivyo mchango wa BAKWATA kwa serikali ya CCM ni mkubwa na ndiyo ukubwa wa rambirambi kwa wafiwa ...

TOKA MAKTABA :
Mitano kwanza ya Alhad Musa shehe wa mkoa ilivyopingwa sana na sheikh Muhammad Iddi


View: https://m.youtube.com/watch?v=ElJCi_-R9E8
 
Hatari sana Huyu kigagula kutapanya hovyo pesa za umma
 
Huyo alikua kiongozi wa bakwata kwa hiyo ni mtu wa system kama na anafahamiana nae
 
Milioni 50, ni rambirambi au kuna la ziada? Zingetolewa akiwa hai, kuna uwezekano angenusuri maisha yake kwa kujipatia matibabu kwenye nchi zenye matabibu! Muhimbili, Mloganzila, unakwenda unajiona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…