#COVID19 Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

Wanabodi.

Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Tuko 5G. Kwa heri 1G.
 
Inaashiria usaliti na ni jinsi gani walikuwa Wanajipendekeza, nchi ilikuwa inatawaliwa na misingi ya kujipendekeza pendekeza tu.
Wewe ndio mnafiki namba moja,mara hii ushasahau mapambio yako ya CCM ya Magufuli?na ulibadilisha pambio baada ya Jiwe kuendekeza "mfumo Kristo" kwenye post zake.
 
DRGJ.jpg

DRML.JPG
 
Wanabodi.

Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Huo ndio Ushaidi kuwa Watendaji walikuwa Bendera fuata upepo Hayati angesema Tunywe juice ya Pweza kutibu Corona watendaji wangeipigia Debe
 
Walikuwa wanahubiri wasichokiamini au wanasubiri mapendekezo ya kamati ya SASHA kuhusu Covid19!
 
Huo ndio Ushaidi kuwa Watendaji walikuwa Bendera fuata upepo Hayati angesema Tunywe juice ya Pweza kutibu Corona watendaji wangeipigia Debe
Bora mchuzi wa Pweza una faida mwilini,angesema mkojo wake ndio dawa Mawaziri hasa Kabudi,Jafo na hao comedians wa Afya na Watendaji wengine wangekuwa wa kwanza kuunywa.
 
Wanabodi.

Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Nilidhani wametoa tangazo la kusitisha
 
Back
Top Bottom