#COVID19 Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

Wamejitahidi Sana kuipoteza Corona
Kenya wanalia na Corona.
Sie Huku walaa.
Hata wale waliokuwa wanasema wanaumwa zilikuwa propaganda.
kwenye Corona magufuli nampa [emoji817].
Mpe yote maana ni utashi wako, Jiwe ni failure of the century
 
Wanabodi.

Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Miwaziri minafiki kina Gwajima. Akakaburuza kamwanaume ka watu kakawa ktuko mitandaoni. Unafiki mtupu kupigania matumbo yao maana walishamsoma kuwa anataka sifa na kila anachokitaka kifanyike. Even if it were me, I would have behaved the same!
 
Shida yetu ni katiba. Mtawalaumu Marais bila sababu. Wanapewa nguvu kubwa sana. Wanaitumia vilivyo
Tatizo si katiba, ni akili mbovu ya mwendazake mbona hatukuwahi kuona ubazazi na mazonge ya kiwango hichi cha awamu ya 5 katika awamu zilizopita na katiba ni ile ile ya virakaviraka?!
 
Tumuombee apumzike kwa amani. Ameacha akili zetu zimechangamka. Ile dozing yake ilianza juu kabisa mpaka huku chini. Wote tumevurugwa.
Tukiangalia mambo yake kwa jicho la tatu, tutagundua he was meant for that.
DAAAH! Yule mwamba ni balaa. Tujenge maisha na nchi yetu
 
Hiyo
Wanabodi.

Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Nyungu ilikuwa prescription ya Shujaa wa Afrika dhidi ya corona; haikuwa ya wizara ya afya. Sasa baada ya baadhi ya watu kudai kuwa corona imechangia kumuondoa Shujaa wa Afrika imebidi prescription pia ifanyiwe tathmini.
 
Wanabodi.

Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Muda wa nyungu umepita
 
Wizara inamsaliti shujaa!!!!

pia ile dawa ya NIMRICAF
 
😹😹 Hadi Field Martial alikuwa anafuata Beat lakini ghafla mdundo wa ngoma umekatika. Amejikuta njia panda hana kauli 🙄🙄
 
kufa hata wewe utakufa maana NI AHADI na wakati ukifika.
Ila ukweli lazma tuuseme hata kama tunamchukia.
Alijitahidi kutujengea UJASIRI WA AJABU JUU YA CORONA.
Na amefanikiwa.
Endelea kumpa 100% bado yupo hai mkuu
 
Tumuombee apumzike kwa amani. Ameacha akili zetu zimechangamka. Ile dozing yake ilianza juu kabisa mpaka huku chini. Wote tumevurugwa.
Tukiangalia mambo yake kwa jicho la tatu, tutagundua he was meant for that.
DAAAH! Yule mwamba ni balaa. Tujenge maisha na nchi yetu
Namshangaa alikuwa scientist wa aina gani asiyejua principles za maabara kwamba kila experiment lazima iwe measured and controlled! Yeye ni vululuvululu tu mpaka tungecrash kwenye korongo kama Zimbabwe na Venezuela! Good riddance
 
kufa hata wewe utakufa maana NI AHADI na wakati ukifika.
Ila ukweli lazma tuuseme hata kama tunamchukia.
Alijitahidi kutujengea UJASIRI WA AJABU JUU YA CORONA.
Na amefanikiwa.
Endelea kumpa 100% bado yupo hai mkuu
 
Namshangaa alikuwa scientist wa aina gani asiyejua principles za maabara kwamba kila experiment lazima iwe measured and controlled! Yeye ni vululuvululu tu mpaka tungecrash kwenye korongo kama Zimbabwe na Venezuela! Good riddance
Alikuwa mtu hatari sn
 
Mwenyezi Mungu anatupenda. I believe he scenes in the script were meant to end up where he has ended up. Tunashukuru for what he has done. Tugange yanayokuja.
I was wondering hivi bunge ni la chama kimoja? Kumbe kuna kina mdee. Kweli maendeleo hayana chama😂😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom