#COVID19 Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

#COVID19 Kwanini Wizara ya Afya imeachana na nyungu ili kupambana na Corona?

Sio nyungu peke yake, wizara ya afya imeanza kutoa matangazo ya watu kuchukua tahadhari dhidi ya covid na TCRA hawatoi tena lile tangazo la kuzuia watu kuongelea covid.
Matangazo gani mapya maana tv, na mabango barabarani yapo siku zote mbona!
 
Wanabodi.

Wizara ya Afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli.

Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Somo la nyungu lilishaeleweka tayari tena tumeshalifanyia kazi kwa vitendo! Tunamshukuru Mungu kwa hilo.
 
Mkuu nikiona ID yako nakumbuka slogan ya "...gesi haiondoki hata kwa mrija wa peni..."
Mkuu ulijitahidi Sana hadi wajeda wakamwagwa Mtwara! Mkapigwa Sana na gesi ikabebwa kwa bomba lenye upana wa kimo changu!
Kwa kupigwa kwa hao wananchi na wajeda kulikunufaisha jambo gani amabalo hadi leo hii unajivunia maishani mwako?
 
Wanabodi.

Wizara ya Afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli.

Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Ule ulikuwa ni UJINGA na uhaywani wa hali ya juu ulioanzishwa na Mwendazake na tumeuzika pamoja naye Chato pale tarehe 26/03.
Tuko na Tanzania ya kisasa unayohaki sayansi, diplomasia, Utawala wa sheria na haki kwa raia wote.
 
Kwa kupigwa kwa hao wananchi na wajeda kulikunufaisha jambo gani amabalo hadi leo hii unajivunia maishani mwako?
Mkuu umeulizwa wewe? Member wa hapa JF tunafahamiana pengine hiyo ni code yetu mimi na aliyeulizwa,
Screenshot (140).png
 
Mkuu umeulizwa wewe? Member wa hapa JF tunafahamiana pengine hiyo ni code yetu mimi na aliyeulizwa,
View attachment 1756257
Bahati mbaya hilo tukio liliwapata wananchi wa mkoa husika na waliumia sana na wengine kupata vilema vya kufumu na wengine kupoteza maisha.

Kwa matukio kama hayo haileti picha mzuri kwa mtu kulifanya hilo tukio kama wimbo mzuri masikioni mwake.
 
Back
Top Bottom