Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Tuko 5G. Kwa heri 1G.Wanabodi.
Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Wewe ndio mnafiki namba moja,mara hii ushasahau mapambio yako ya CCM ya Magufuli?na ulibadilisha pambio baada ya Jiwe kuendekeza "mfumo Kristo" kwenye post zake.Inaashiria usaliti na ni jinsi gani walikuwa Wanajipendekeza, nchi ilikuwa inatawaliwa na misingi ya kujipendekeza pendekeza tu.
Huo ndio Ushaidi kuwa Watendaji walikuwa Bendera fuata upepo Hayati angesema Tunywe juice ya Pweza kutibu Corona watendaji wangeipigia DebeWanabodi.
Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Walikuwa wanahubiri wasichokiamini au wanasubiri mapendekezo ya kamati ya SASHA kuhusu Covid19!Wanabodi.
Wizara ya afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Africa Magufuli. Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Kajuza kale kanakera, eti field marshal?!Yule bibi wa wizara ya Afya amekuwa mpole balaa
Bora mchuzi wa Pweza una faida mwilini,angesema mkojo wake ndio dawa Mawaziri hasa Kabudi,Jafo na hao comedians wa Afya na Watendaji wengine wangekuwa wa kwanza kuunywa.Huo ndio Ushaidi kuwa Watendaji walikuwa Bendera fuata upepo Hayati angesema Tunywe juice ya Pweza kutibu Corona watendaji wangeipigia Debe
Maisha bila unafiki na fitina hayaendiInaashiria usaliti na ni jinsi gani walikuwa Wanajipendekeza, nchi ilikuwa inatawaliwa na misingi ya kujipendekeza pendekeza tu.
Yeye mwenyewe alisusa JF tangu mwendazake alipokuwa Rais. Ghafla karejea baada ya Mama samia kutangaza Jiwe kafa na HATARUDI TENAAAAAAHii imetoka moyoni kweli au na wewe umeandika tu kama na wao wanavyoandika?
Inaashiria usaliti na ni jinsi gani walikuwa Wanajipendekeza, nchi ilikuwa inatawaliwa na misingi ya kujipendekeza pendekeza tu.
Ni mshenzi sn yule bibiKajuza kale kanakera, eti field marshal?!
Endelea kumpa 100% bado yupo hai mkuuWamejitahidi Sana kuipoteza Corona
Kenya wanalia na Corona.
Sie Huku walaa.
Hata wale waliokuwa wanasema wanaumwa zilikuwa propaganda.
kwenye Corona magufuli nampa [emoji817].
Nilidhani wametoa tangazo la kusitishaWanabodi.