Matangazo gani mapya maana tv, na mabango barabarani yapo siku zote mbona!Sio nyungu peke yake, wizara ya afya imeanza kutoa matangazo ya watu kuchukua tahadhari dhidi ya covid na TCRA hawatoi tena lile tangazo la kuzuia watu kuongelea covid.
Somo la nyungu lilishaeleweka tayari tena tumeshalifanyia kazi kwa vitendo! Tunamshukuru Mungu kwa hilo.Wanabodi.
Wizara ya Afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli.
Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
😅Kibajaji atatoa wapi akili hii ya gambo wa sasa!Nasikia kachukua wa Kibajaj
Gambo hana tofauti na Kibajaj na Msukuma Kasheku[emoji28]Kibajaji atatoa wapi akili hii ya gambo wa sasa!
Mliolisoma hamna tofauti na kibajajSomo la nyungu lilishaeleweka tayari tena tumeshalifanyia kazi kwa vitendo! Tunamshukuru Mungu kwa hilo.
Kwa kupigwa kwa hao wananchi na wajeda kulikunufaisha jambo gani amabalo hadi leo hii unajivunia maishani mwako?Mkuu nikiona ID yako nakumbuka slogan ya "...gesi haiondoki hata kwa mrija wa peni..."
Mkuu ulijitahidi Sana hadi wajeda wakamwagwa Mtwara! Mkapigwa Sana na gesi ikabebwa kwa bomba lenye upana wa kimo changu!
Hao ni covid -19
Ule ulikuwa ni UJINGA na uhaywani wa hali ya juu ulioanzishwa na Mwendazake na tumeuzika pamoja naye Chato pale tarehe 26/03.Wanabodi.
Wizara ya Afya imeacha kabisa kupromoti Nyungu baada ya kifo cha shujaa wa Afrika Dkt. Magufuli.
Hiyo inaashiria nini Wakuu hatuoni tena matamko kama zamani nini tatizo au Corona imeisha Tanzania, mawaziri wote kimya.
Mkuu umeulizwa wewe? Member wa hapa JF tunafahamiana pengine hiyo ni code yetu mimi na aliyeulizwa,Kwa kupigwa kwa hao wananchi na wajeda kulikunufaisha jambo gani amabalo hadi leo hii unajivunia maishani mwako?
Bahati mbaya hilo tukio liliwapata wananchi wa mkoa husika na waliumia sana na wengine kupata vilema vya kufumu na wengine kupoteza maisha.Mkuu umeulizwa wewe? Member wa hapa JF tunafahamiana pengine hiyo ni code yetu mimi na aliyeulizwa,
View attachment 1756257