Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini unataka waondolewe, na wakiondolewa wewe utafaidika na Nini? Yaani mpira was kibongo hautakaa uendelee kwa huu ujinga,
Elewa uzi, hajataka waondolewe, amechambua sababu za yanga kuondolewa. Na kwa hizo sababu utake usitake yanga inaondolewa
 
Elewa uzi, hajataka waondolewe, amechambua sababu za yanga kuondolewa. Na kwa hizo sababu utake usitake yanga inaondolewa
Mpira unachezwa uwanjani sio mdomoni wala sio maandishi mfano hapa nipe uchambuzi wako; Brentford kamfunga Man Utd, Man Utd kamfunga Arsenal, Arsenal kamfunga Brentford
 
Niende wapi mie Mtani. Haya za kukwepana? Hahahaaaa. lol.

Ila Mtani huu muda mnaoutumia kutuletea porojo zenu mnaonaje kama mngefikiria mechi yenu na WaAngola eti?
Sisi uhakika, hata nyie utopolo mnajua ndo maana hamuongelei mechi yetu.
Nb: Ukiona embe linafuatwa sana na inzi kuliko mengine ujue linakribia kufa
 
Tangu mwaka jana kumbukumbu zinaonyesha kila mara simba wakiomba baya dhidi ya Yanga linafeli na mara nyingi dua mbaya huwarudia wenyewe.

Hao de Agosto si wabaya kihivyo. Kila mtu apambane na hali yake na inshalla kila timu na ikashinde nyumbani na ugenini.
 
Bila kumtaja baba yako Yanga hulali. Pole Kolo
 
Alisikika utopolo mmoja aliyesemwa na haji anayenuka kinyesi..
 
Uzi umeiongelea Yanga hitimisho unatoa kwa kuizungumzia Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…