Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Unachoongea unakijua!!??
Yanga na hilal mzani sawa!!!
Usireply ilimradi ureply
Wewe huna lolote unalo lijua kuhusu soka, Al hilal ana ni timu ya kawaida na itaondolewa na Yanga na Kwa namna nilivyo fanya utafiti kuhusu Al Hilal na El Melek timu zote mbili hazita fuzu kwenda Makundi ya Caf champion league Kwa Msimu huu zote ni mbovu na Sidhani ata uko confederation zitakapo kwenda kucheza play off kama zitatoboa.
 
"Kuruka ruka kwa maharagwe ndo kuiva kwake,"
Ukiona hvy kifo chake kimewadia

Yanga aende huko mbele akafanye nn
Usipoijadili Yanga utajadili nini tena ewe kolo mkubwa? Je, waweza kuijadili mikia ambayo haina mvuto? Asante Pitso, asante South Africa. Kuna timu inakumbukwa South kwa ulozi.
 
NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 𝐇𝐈𝐋𝐀𝐋

KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL
Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua kinachoendelea mpaka sasa, kwani wanachosubiri ni miuujiza tu, maana hawana sababu ya kuiondoa Al hilal kivyovyote

Al hilal mwenye kikosi chenye thamani maradufu zaidi ya yanga ameshiriki mara nyingi zaidi michuano ya kimataifa especially klabu bingwa africa na kufikia makundi ukifananisha na utopolo, ambao mara ya mwisho kufikia makundi kombe hilo ilikuwa mwaka 1998 ( ilikuwa kama kipofu kaona mwezi)
Ambapo pia wakali hilal wanampaka rekodi ya kufika fainali michuano ya klabu africa, sasa twende kazi;

ADVANTAGE YA KUANZIA UGENINI
Hii ni nafasi nzuri sana kwa wakali hilal kuwakunyuga wauza magodoro na kuwatupa nje kwenye michuano, kwani aanziae ugenini ana nafasi kubwa ya kuusoma mchezo na kuumaliza mchezo maana ndo mwenye game ya mwisho,
ambapo advantage kama hiyo wameipata wababe kutoka msimbaz SIMBA SC [emoji881]

UWEPO FROLENT IBENGE
Takribani asilimia 40 ya wachezaji wa yanga wengi ni vijana wa kocha fundi frolent ibenge mf (mayele,djuma,bangala,moloko nk) ambao anawafahamu vizuri ubora na udhaifu wao( vinyago kavichonga yeye), hii itamrahisishia kuwadhibiti kwa urahisi wanajangwani hao na taratibu kujilia tunda kimasihara

USHINDI WAO DHIDI YA ZALAN
Lile bomu walilorusha monchwari na kujitangazia wameua litawaponza nawahakikishia.
Ushindi wa aggregate 9-0 dhidi ya zalan unaweza kuwaponza dhidi ya wataalamu hilal, ambao watajiandaa vizuri na kwa jihadi na pia kisaikolojia ili kukabiliana na utopolo, pia hawatakubali kuwapa nafasi kwa kuwa nao makini wakiamini utopolo wako vizuri zaidi.

NB: hilal wana nafasi nzuri ya kuiadhibu yanga kwa mkapa, hii inatokana na wenyeji hao kutotumia vizuri advantage yao ya uwanja wa nyumbani kimataifa kama ilivyo ada

Mungu ibariki Simba, MUNGU ibariki hilalView attachment 2362643View attachment 2362644
Nyie ndio wale waandishi malay.a!
 
Makolo kina nan!?
Mmewakamata kwa lip!?
Angalia tu walivyojawa mapovu utawajua. Kuwakamata kwa lipi? Waulize wamemaliza ligi wakiwa na tuzo ipi na wamefungua msimu mwingine kwa tuzo ipi?
 
Mashabiki wa simba wako very desperate kuhusu yanga na tumaini pekee walilobaki nalo ni Al Hilal kwasababu Simba wamekuwa wateja wakubwa wa kipigo kutoka Yanga.
 
Mungu ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania. Amen
 
Wewe huna lolote unalo lijua kuhusu soka, Al hilal ana ni timu ya kawaida na itaondolewa na Yanga na Kwa namna nilivyo fanya utafiti kuhusu Al Hilal na El Melek timu zote mbili hazita fuzu kwenda Makundi ya Caf champion league Kwa Msimu huu zote ni mbovu na Sidhani ata uko confederation zitakapo kwenda kucheza play off kama zitatoboa.
Wewe kweli redio, maana unaongea sana halafu unaleta utafiti wako duni!
 
Sasa kama 40% ya wachezaji wamefundishwa na uyo Ibenge huoni kuwa ni Advantage pia kwa Yanga maana mbinu nyingi za uyo kocha zitakuwa zinajulikana?
Aah wapi!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ety mbinu nyingi za kocha!!
Kwa hiyo nabi umuulize mayele mbinu za ibenge, basi atakuwa mpumbavu
 
Angalia tu walivyojawa mapovu utawajua. Kuwakamata kwa lipi? Waulize wamemaliza ligi wakiwa na tuzo ipi na wamefungua msimu mwingine kwa tuzo ipi?
Hahahaha!!!! Sas unaamin nikiwaambia nyie washamba!!
Kumaliza ligi ndo nn?? Nafasi ya ngapi??

Hahahah
Mmesahau 4 consecutive seasons nilikuwa nachukua kombe, leo hii chura mnatamba mbele yangu?
 
Mashabiki wa simba wako very desperate kuhusu yanga na tumaini pekee walilobaki nalo ni Al Hilal kwasababu Simba wamekuwa wateja wakubwa wa kipigo kutoka Yanga.
Yeah!! Nataka hilal ukutoe ngebe hiyo
 
Al Hilal na Yanga kwenye mzani wa vikombe vya Caf wako sawasawa Kwa maana wote Hawana kikombe chochote Cha Caf na icho ndio kiashiria Cha ukubwa.
Swala la kufika Robo kufika fainali halina uhusiano wowote na kutwaa kikombe Cha Caf.
Yanga ilisha wahi kucheza robo ya Caf champion league mfululizo 1969, 1970 historia hio aina maana yoyote inabaki ni stori tu.
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma.
Imani mbele woga tupa kule.
 
Imani mbele woga tupa kule.
Hahaha!!! Lakini yanga bhn.
Hata kama mnakiona kifo ila mnajipa moyo,
Mnasema "daima mbele nyuma mwiko"
Yaani hata kama mbele kuna mabomu nyi mnaenda tu kama nyumbu
 
Hahahaha!!!! Sas unaamin nikiwaambia nyie washamba!!
Kumaliza ligi ndo nn?? Nafasi ya ngapi??

Hahahah
Mmesahau 4 consecutive seasons nilikuwa nachukua kombe, leo hii chura mnatamba mbele yangu?
Hatusemi historia hapa, tunaongelea facts on ground. Na mwaka huu makamasi yatawatoka, subiri Angola kwanza. Mnapoteza muda kuijadili Yanga ambao wamezidi kudhihirisha ubora wao? Timu yenu haina mvuto muijadili?
 
Yeah!! Nataka hilal ukutoe ngebe hiyo
0E0B617F-EE96-48E8-B8F4-0440E3AB5FBA.jpeg
 
Back
Top Bottom