Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Kwanini Yanga ataondolewa kimataifa

Nlikua nasubiri nione thamani ya vikosi kumbe umeandika porojo tu
 
Mashabiki wenzangu wa msimbazi wakati mwingine mnatudharirisha, sisi tunamfunga al ahly tulikhwa na rekodi gani bora kuliko wao, kikosi chetu kilikuwa cha thamani gani, si ndio walikuwa wametoka kumsajili ramadan sobhi, kiasi utopolo wakawa wanatuimba tutatokea wapi.. Kipi kilijiri?
Upo sahihi boss, hao Al Hilal wanafungika kawaida tu kama Yanga ikijiandaa vizuri.

Hata OKW BOBAN SUNZU Scars njaakalihatari GENTAMYCINE Kalpana wanakubaliana na hili.

Kila laheri Simba na Yanga kwenye hatua zinazofuata.
Tate Mkuu ukikaidi utapigwa2 redio Nyenyere Shadeeya Championship
 
Yanga bado ana advantage kubwa kupita kwasababu ya team bora waliyonayo

Al Hilal nilicheza naye pale Sudan japo alinifunga ila hana mpira wa kutisha kwasababu timu yake sio bora ila wachezaji tu ndio bora.

Kama katika hiki kipindi Al Hilal akafanikiwa kuoata muunganiko mzuri na kucheza kitimu basi atakuwa na nafasi kubwa ya kuweza kumtoa Yanga.

Naamini Yanga wakiweka mikakati mizuri kwa kutumia advantage ya hapa nyumbani wakishinda goli 2-0, kuke away wanaweza wakashikilia bomba na kutoka sare

Yanga kwenye kulinda ushindi hiyo ni kama motto yao siku zote, angalia hata zile mechi ambazo tumefungwa na Yanga dakika za mwanzoni wamekuwa wakilinda ushindi wao kwa muda mrefu bila kuruhusu bao la kusawazisha.

Wakiwa na spirit hii sioni kikwazo kwa Al Hilal, ususani katika michezo yao miwili waliyokutana na St George hawakucheza katika ubora wenye kushawishi.

Karata yangu naitupa kwa Yanga
 
Apite aende wapi??!! Toka lini!!?? Kwa ubora gani??!!
 
Kuna wakati unaongea facts za kimpira bila kuweka ushabiki mbele.. bwavo[emoji119][emoji119]
 
Binafsi nazitakia ushindi timu zetu zote tatu zilizobaki, baada ya Geita Gold kutolewa kwa goli la ugenini.

Linapokuja suala la Utaifa, siku zote moyo wangu uko pamoja na timu za Taifa langu. Hata kama kutakuwepo na utani wa hapa na pale, ila ukweli uko hivyo.

All the best kwa Wananchi Yanga, Simba SC, na Azam FC. Timu zote zisonge mbele kuelekea hatua inayofuata.
 
Apite aende wapi??!! Toka lini!!?? Kwa ubora gani??!!
Atapita akiweka mikakati ikiwa pamoja na kujituma na sio fitna za nje za uwanja

Al Hilal bado hawana muunganiko kitu pekee ambacho Yanga watakwenda kunufaika nacho
 
Al Hilal na Yanga kwenye mzani wa vikombe vya Caf wako sawasawa Kwa maana wote Hawana kikombe chochote Cha Caf na icho ndio kiashiria Cha ukubwa.
Swala la kufika Robo kufika fainali halina uhusiano wowote na kutwaa kikombe Cha Caf.
Yanga ilisha wahi kucheza robo ya Caf champion league mfululizo 1969, 1970 historia hio aina maana yoyote inabaki ni stori tu.
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma.
Na wewe chukua like yangu
 
Binafsi nazitakia ushindi timu zetu zote tatu zilizobaki, baada ya Geita Gold kutolewa kwa goli la ugenini.

Linapokuja suala la Utaifa, siku zote moyo wangu uko pamoja na timu za Taifa langu. Hata kama kutakuwepo na utani wa hapa na pale, ila ukweli uko hivyo.

All the best kwa Wananchi Yanga, Simba SC, na Azam FC. Timu zote zisonge mbele kuelekea hatua inayofuata.
Ni kweli lakin me siwezi kuwa upande wa yanga, dua zangu aondolewe ili Tubaki wanaume wawili kuwakilisha [emoji1241], walikuwa wanajaa uwanja wa ndege kupokea wapinzani wa simba, na pia kuvujisha siri zetu kwa wapinzani,
 
Ni kweli lakin me siwezi kuwa upande wa yanga, dua zangu aondolewe ili Tsunami wanaume wawali kuwakilisha [emoji1241], walikuwa wanajaa uwanja wa ndege kupokea wapinzani wa simba, na pia kuvujisha siri zetu kwa wapinzani,
Huu ni msimamo/mtazamo wako. Hivyo siwajibiki kuuingilia. Yanga ina mamilioni ya mashabiki duniani kote.

Sasa wanapotokea watu 50 kwenda kuwapokea hao wageni unao waongelea! Halafu uka generalize kama ndiyo mashabiki wote wa Yanga! Huoni utakuwa una tatizo mahali fulani ndugu mkurugenzi!

Hivi akitokea Mwenyekiti wako wa zamani ndugu Ismail Aden Rage akakuita mbumbumbu utakasirika kweli!!
 
Mpira unabadilika kulingana na wakati. Kuna wakati giants wa soka la Africa walikuwa Asante kotoko, Heart's of Oak, Canon Youandë, Enyimba Aba, Ismaily.
Hao wote wamechukua caf champions league mara kadhaa..
Ulikuwa ukikutana na hizi timu lazima utolewe Kwa vipigo vitakatifu, Simba wanaelewa kuhusu hao Enyimba ..
Ila Kwa sasa meza imepinduka, vilabu vyote hapo juu vinaweza fungwa na Simba vizuri tu na kutolewa mashindanoni tofauti na ilivyokuwa hapo zamani.
Kwa case ya Yanga na hao waarabu wa Al hilal nadhani kwa sasa ule ule ukubwa tunaowapa Al hilal sidhani kama bado wanao.
Mzani umeshabance na Yanga wanaweza kuwatoa hao wasudani bila tatizo kabisa
 
Ni kweli lakin me siwezi kuwa upande wa yanga, dua zangu aondolewe ili Tsunami wanaume wawali kuwakilisha [emoji1241], walikuwa wanajaa uwanja wa ndege kupokea wapinzani wa simba, na pia kuvujisha siri zetu kwa wapinzani,
Huu ni msimamo/mtazamo wako. Hivyo siwajibiki kuuingilia. Yanga ina mamilioni ya mashabiki duniani kote.

Sasa wanapotokea watu 50 kwenda kuwapokea hao wageni unao waongelea! Halafu uka generalize kama ndiyo mashabiki wote wa Yanga! Huoni utakuwa una tatizo mahali fulani ndugu mkurugenzi!

Hivi akitokea Mwenyekiti wako wa zamani ndugu Ismail Aden Rage akakuita mbumbumbu utakasirika kweli!!
 
NDIO, ana kila sababu kung'olewa kimataifa na wababe kutoka sudan 𝐀𝐋 𝐇𝐈𝐋𝐀𝐋

KILA REKODI ZINAWAKATAA YANGA MBELE YA HILAL
Mashabiki wa yanga wengi wanaoujua na kuufutilia mpira wanajua kinachoendelea mpaka sasa, kwani wanachosubiri ni miuujiza tu, maana hawana sababu ya kuiondoa Al hilal kivyovyote

Al hilal mwenye kikosi chenye thamani maradufu zaidi ya yanga ameshiriki mara nyingi zaidi michuano ya kimataifa especially klabu bingwa africa na kufikia makundi ukifananisha na utopolo, ambao mara ya mwisho kufikia makundi kombe hilo ilikuwa mwaka 1998 ( ilikuwa kama kipofu kaona mwezi)
Ambapo pia wakali hilal wanampaka rekodi ya kufika fainali michuano ya klabu africa, sasa twende kazi;

ADVANTAGE YA KUANZIA UGENINI
Hii ni nafasi nzuri sana kwa wakali hilal kuwakunyuga wauza magodoro na kuwatupa nje kwenye michuano, kwani aanziae ugenini ana nafasi kubwa ya kuusoma mchezo na kuumaliza mchezo maana ndo mwenye game ya mwisho,
ambapo advantage kama hiyo wameipata wababe kutoka msimbaz SIMBA SC [emoji881]

UWEPO FROLENT IBENGE
Takribani asilimia 40 ya wachezaji wa yanga wengi ni vijana wa kocha fundi frolent ibenge mf (mayele,djuma,bangala,moloko nk) ambao anawafahamu vizuri ubora na udhaifu wao( vinyago kavichonga yeye), hii itamrahisishia kuwadhibiti kwa urahisi wanajangwani hao na taratibu kujilia tunda kimasihara

USHINDI WAO DHIDI YA ZALAN
Lile bomu walilorusha monchwari na kujitangazia wameua litawaponza nawahakikishia.
Ushindi wa aggregate 9-0 dhidi ya zalan unaweza kuwaponza dhidi ya wataalamu hilal, ambao watajiandaa vizuri na kwa jihadi na pia kisaikolojia ili kukabiliana na utopolo, pia hawatakubali kuwapa nafasi kwa kuwa nao makini wakiamini utopolo wako vizuri zaidi.

NB: hilal wana nafasi nzuri ya kuiadhibu yanga kwa mkapa, hii inatokana na wenyeji hao kutotumia vizuri advantage yao ya uwanja wa nyumbani kimataifa kama ilivyo ada

Mungu ibariki Simba, MUNGU ibariki hilalView attachment 2362643View attachment 2362644
Unajua shida ya nyie makolo mnaona mabwana zenu tunavyo wanyanyasa kila msimu,nyie mnasema ya kuwa Zalan kapigwa 9 ila mnasahau ya kuwa sisi mabwana zenu tumesha wagonga bao 9 pia,sasa kinacho waumiza ni kwamba tumesha waacha nyie tunataka mademu wengine hiko ndo kinacho waumiza,yap ni kweli lazima muumie tena koz ndo kawaida ya mapenzi lazima mumuonee wivu mke mwenzio,so kaeni kwa kutulia huyo Al hilal hapa atakuja na atachezea kit...o vizuri tu,sawa eeeeenh.

Tupo hapa.

Club above all

Haya sasa wana jangwani ingia Ig follow kwa_yanga_hii
Screenshot_2022_0919_161923.jpg
 
Back
Top Bottom