Kwanini Yanga hawajasajili?

Dewji anawazidi mbali sana Engineer akiwemo, lakini bado mnamtupia vijembe. So huyo Hersi yeye amekuwa nani?
Dewj anamzidi nini kwenye mpira? aliwahi kuwa na unbeaten ngapi? ana medal ya CAF? amewahi kuwin treble?? Wewe shangilia mpira ndo upande wako huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…