Bukoba Finest
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 250
- 315
- Thread starter
- #81
Dewj anamzidi nini kwenye mpira? aliwahi kuwa na unbeaten ngapi? ana medal ya CAF? amewahi kuwin treble?? Wewe shangilia mpira ndo upande wako huo.Dewji anawazidi mbali sana Engineer akiwemo, lakini bado mnamtupia vijembe. So huyo Hersi yeye amekuwa nani?