Kwanini Yanga hawajasajili?

Kwanini Yanga hawajasajili?

Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI.

Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili. ( Team na mchezaji).

Kilichobaki ni kuwasajili hawa wachezaji kwenye mfumo wa TFF na CAF kwaajili ya kushiriki Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.

Kwanini Yanga hajawasajili mpaka sasa?? Deadline ni tarehe 30 kwa maana bado siku kumi Yanga bado ana muda wa kuwafanyia assessment wachezaji wake kabla ya kuwasajili kwenye huo mfumo ili kujihakikishia anasajili wachezaji ambao wameonesha uwezo wa kiushindani katika michuano hiyo. View attachment 2694022
Hata wale wanaoendelea na mikataba yao nao wanasubiri kufanyiwa assessment?
 
Ndio muda wa GSM kuvuna. Ulitegemea nguvu waliyowekeza msimu uliopita na Sasa wamevuna then waacha kuchota Chao kwanza waanze kuhangaika kusajili wachezaji. Hao wafanyabiashara wanaakili ya uwekezaji
 
wanavuna nini?
 
Kwa hiyo Yanga haitakiwi kuwa na mchezaji yoyote msimu huu?
Walikuwa wanatoa bajeti ya mwaka bila kuonyesha deni la Luc Eymael. Wamlipe sasa wafunguliwe, baadaye wasije wakaanza kuilaumu TFF
 
Deni la Luc ni shilling ngapi? au unabwabwaja tu hapa
 
Leo baada ya TFF kutoa takwimu ya timu ambazo zimesajili wachezaji ( CAF). Watu wengi hawakuelewa baada ya kuona Yanga wameandikiwa HAWAJASAJILI.

Ipo hivi Yanga ameishasajili wachezaji kwa maana ya kufikia makubaliano baina ya pande zote mbili. ( Team na mchezaji).

Kilichobaki ni kuwasajili hawa wachezaji kwenye mfumo wa TFF na CAF kwaajili ya kushiriki Klabu Bingwa barani Afrika msimu ujao.

Kwanini Yanga hajawasajili mpaka sasa?? Deadline ni tarehe 30 kwa maana bado siku kumi Yanga bado ana muda wa kuwafanyia assessment wachezaji wake kabla ya kuwasajili kwenye huo mfumo ili kujihakikishia anasajili wachezaji ambao wameonesha uwezo wa kiushindani katika michuano hiyo. View attachment 2694022

TFF wanahitimisha usajili siku kumi kabla dirisha la usajili halijafungwa?

Yaani wanatangaza bingwa ilhali raundi ya pili haijachezwa?

Mbona Yanga sio wageni huko CAF?
 
Aliyekuambia wamehitimisha ni nani? Hiyo ni alert wanatoa tu.
 
Mbona wasiandike Barua direct kwa timu ikiwa walilenga ku-alert timu?

Tukubali kuwa kwenye hili TFF wamekosa weledi. Walichofanya sio sahihi.
Pengine ni mazoea ikiwa imezoeleka wanapelekaga majina mapema wanaona this time sio kawaida na ndio maana kila siku wanapost kukumbushia siku
 
Back
Top Bottom