Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

Huo ndo ukweli bana...hata kama mna kikosi ila na ushirikina mnao...πŸ˜„πŸ˜„
Mpira hauna ushirikina.

Mpira ungekuwa unaendeshwa kishirikina basi kusingekuwa na haja ya kuwaleta wachezaji na makocha kwa gharama kubwa , badala yake tungewekeza nguvu kununua walozi waliobobea watuletee ushindi.
 
Timu zao walizopangiwa nao mbovu mnooo
Ref hata msimu ulipita wale wasudan waliokuja na basi kutoka kwao....πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜ͺπŸ˜ͺ
Yanga wanamambo mbinu za kishamba sana ila zitakuja kawaambua muda sio mrefu na kuachwa uchi
 
Nimecheka sanaaaa! Watu mnamajibu yenu kwa wenye mada za kusadikika.
 
Unasumbuliwa na:

chuki

tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya
Kisha wewe ni:

chizi

mtu mwenye wazimu au mwenye akili kidogo

Tatizo lako akili yako imejaa kinyesi kwasababu unashabikia timu inayotumia rangi ya mavi mavi,sasa mshabiki wake hawezi kuwa na akili ..rangi ya njano mavi ya binadamu na kijani mavi ya ndege....sasa hapo utasema una akili wewe...ndio maana tabia zetu washabiki wengi wa yanga ni kimavi mavi na kichawi
 
Achana na wakina Vital'O na hao CBE SA, Simba alikula kono la nyani na kwa viwango vya CAF ni wa 6. Tatizo makoro wengi hawajakubali kuwa Yanga gari limehsawaka kuelekea kwenye fainali za CAF CL hatimae kuleta kombe Bongo kwa mara ya kwanza.
 
nyie ndo mkakamatwanao kabisa..🀣 mpk mje kuelewa mtakauwa mshashika mkia hadi kwenye NBC.
Tumeshachoka kuwalewesha ule sio ulozi ilikua ni njia ya kupasha miili joto...ndo maana wao walisema kitendo kinachodhaniwa hwakusema direct kuwa tunaloga...
 
Sasa kama Simba imeanzia raundi ya pili, halafu ikapangiwa na timu ambayo nchi yake imekumbwa na misukosuko ya kisiasa kwa miaka mingi! Na bado ikaishindwa kupata ushindi!

Ingekutana na timu inayotoka katika nchi yenye utulivu, si ingetolewa mapema kabisa!
 
Wahabeshi hawarogeki wala hauwezi kuwaombea dua mbaya ikafanikiwa. Kama hauniamini, subiri Jmosi utaniambia kitakachotokea
 
Kama kuwa na utulivu ni kigezo cha ubora, sisi tungekuwa tumeshinda World Cup 4 na AFCON 5, ila kufuzu kwenyewe tu ni mtihani.
 
Mkuu unazungumzia Al-Ahly Tripoli waliofungwa na Biashara ya Musoma 2-0 ndio timu kali? Imeonekana kali sababu si wamecheza na Simba Vibonde...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…