Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

Mwenye picha ya kibango cha 5-1 awake
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Unazungumzia kupangwa na Zalan au Unazungumzia kupangwa na timu zenye level ya Zalan? Uliza vizuri swali lako
Tupe mfano wa al ahly na wakongwe wengine kupangiwa vitimu kama zalan nk
 
Sasa hata kuandika mtihani huyu ndio atajua soka kweli..
Kwa uandishi huu ilipaswa ushabikie mdundiko..
 
Hapo vip!!

Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.

1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya city,lipuli ya Iringa n.k nikujipigia tu.

Lakini pia hata wakicheza nao hawajiamini wanamuhonga muamuzi wawape kadi nyekundu ndio maana mechi zote Vital O wamepewa kadi nyekundu wakacheza pungufu yasni 8 au 9 uwanjani image pamoja na ubovu wote ila bado wanacheza pungufu.

2. EBC SA ya Ethiopia ni mbovu mbovu hata mashabiki maskini hawana na rank zao katika ubora barani Afrika wapo kwe mia huko chini nakuendelea,pia ndio wale wale kama Vital O

Yanga angekutana na Apr na PYRAMIDS angesha aga mashindano muda mrefu.

Ndio maana watu wanaosema yanga ni bora ni watu wasiojielewa. Yanga ni mbovu sana tena sana kiasi kwamba ingekutana na Ally ALHALY TRIPOLI wangefungwa sio chini ya goli 7.
Ni sawa kabisa na jinsi walivyopangiwa timu dhaifu ya Simba siku ile ya tarehe 5 November 2023.
 
😀😀 Wewe mwanasimba tulia
 
Tupe mfano wa al ahly na wakongwe wengine kupangiwa vitimu kama zalan nk
Bumamuru ya Burundi vs Mamelodi
Bo Ranger ya Sierra Leone vs Belouizdad
Ni kawaida timu zenye rank kubwa kucheza dhidi ya timu zilizochini kwenye rank
 
mbumbumbu ni majinga sana.. shirikisho round ya awali tu inawatoa jasho huku Yanga ilifika mpaka fainali na kushinda ugenini kabisa tena katika mechi ya fainali

hata Mamelodi waliemshangilia walikuja kumgeuka na kusema yanga tulipewa kibonde robo fainali

Kila timu ikicheza na yanga lazima ionekane kibonde.
Hawa jamaa Huwa siwaelewi hawapambani kujenga timu yao kila mara yanga yanga
 
Usikute na Hao wabovu wanajuta kupangiwa na Yanga... Mpira bhana
 
Bumamuru ya Burundi vs Mamelodi
Bo Ranger ya Sierra Leone vs Belouizdad
Ni kawaida timu zenye rank kubwa kucheza dhidi ya timu zilizochini kwenye rank
Hakuna timu yenye udogo km ile zalan
 
Hapo vip!!

Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu.

1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya city,lipuli ya Iringa n.k nikujipigia tu.

Lakini pia hata wakicheza nao hawajiamini wanamuhonga muamuzi wawape kadi nyekundu ndio maana mechi zote Vital O wamepewa kadi nyekundu wakacheza pungufu yasni 8 au 9 uwanjani image pamoja na ubovu wote ila bado wanacheza pungufu.

2. EBC SA ya Ethiopia ni mbovu mbovu hata mashabiki maskini hawana na rank zao katika ubora barani Afrika wapo kwe mia huko chini nakuendelea,pia ndio wale wale kama Vital O

Yanga angekutana na Apr na PYRAMIDS angesha aga mashindano muda mrefu.

Ndio maana watu wanaosema yanga ni bora ni watu wasiojielewa. Yanga ni mbovu sana tena sana kiasi kwamba ingekutana na Ally ALHALY TRIPOLI wangefungwa sio chini ya goli 7.
Wivu tu.
 
Back
Top Bottom