Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

Mtanzania ni mzee wa Nasikia, Unaambiwa, Aliniambia, Kumbe jamaa nk.

Ukiambiwa ulete ushahidi unaishia kurukaruka tu.
 
Ww inakuhusu nini....mbona kama unanionea wivu halafu hoja yako imechelewa sana ndo unaniona leo? nimeishia la 7 B...
Wanawake na mpira wapi na wapi.

Kumbe elimu yenyewe ya darasa la saba , ndio maana basi una upeo finyu.

Watu wanawekeza pesa kuanzia academy za mpira kwa watoto ,viwanja,utimamu wa akili na mwili kwa wachezaji na walimu wao, wewe unakuja kushadadia uchawi.

Rudi kwanza ukasome hata QT.
 
Kati ya CBE SA aliyefungwa moja kwake na Simba aliyefungwa tano kwake yupi mbovu? Jibu unalo.
 
Wewe hujui unaongea nini...yani kweli nibishane na ww kuhusu elimu yangu hunijui sikujui...mimi nakuzidi akili wewe mara elfu...hutaki sepa...😏
By the way usinipangie cha kufanya au cha kushabikia...
Au unataka wote tuwe machawa..😇😇😇
 
Mnasema Yanga dhaifu na imepangiwa na timu dhaifu nyenzake kuna ubaya gani hapo?Ndege wafananao huruka pamoja , je hizo timu mnazozisema ni dhaifu mnataka zipangiwe na timu zipi ?
 
Huu muda unaobishana na wanaume kuhusu mpira bora urudi nyumbani ukamuandalie mumeo chakula Cha jioni.

Pia rudi shule kwanza ukamalize elimu angalau ya sekondari kidogo utakuwa umepevuka kiakili
.
 
Yani maneno yako hayawezi nitoa humu..labda niamue mwenyewe..mume atapikiwa atakula na atakula tena...wtt watakula...kazi nitafanya kwa ratiba zangu una lingine?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
 
Jinsi Tatu Malogo Referee anavyokuzuum alivyoupiga mwingi kwa mbeleko ya SingidaF C 2-2 Makolokolo SC.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yani maneno yako hayawezi nitoa humu..labda niamue mwenyewe..mume atapikiwa atakula na atakula tena...wtt watakula...kazi nitafanya kwa ratiba zangu una lingine?
Mwanamke na mpira wapi na wapi?

Kwanza unajua hata bei ya jezi?
 
Mimi ni Simba ila tuache ujinga,hata hii Al Ahly ni timu ya kawaida.Timu iliyofungwa na biashara united bila shaka huwezi kuiita kubwa.Tunapaswa kushinda na hakuna namna

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…