Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

Unazungumzia kupangwa na Zalan au Unazungumzia kupangwa na timu zenye level ya Zalan? Uliza vizuri swali lako
Tupe mfano wa al ahly na wakongwe wengine kupangiwa vitimu kama zalan nk
 
Sasa hata kuandika mtihani huyu ndio atajua soka kweli..
Kwa uandishi huu ilipaswa ushabikie mdundiko..
 
Ni sawa kabisa na jinsi walivyopangiwa timu dhaifu ya Simba siku ile ya tarehe 5 November 2023.
 
πŸ˜€πŸ˜€ Wewe mwanasimba tulia
 
Tupe mfano wa al ahly na wakongwe wengine kupangiwa vitimu kama zalan nk
Bumamuru ya Burundi vs Mamelodi
Bo Ranger ya Sierra Leone vs Belouizdad
Ni kawaida timu zenye rank kubwa kucheza dhidi ya timu zilizochini kwenye rank
 
Hawa jamaa Huwa siwaelewi hawapambani kujenga timu yao kila mara yanga yanga
 
Usikute na Hao wabovu wanajuta kupangiwa na Yanga... Mpira bhana
 
Bumamuru ya Burundi vs Mamelodi
Bo Ranger ya Sierra Leone vs Belouizdad
Ni kawaida timu zenye rank kubwa kucheza dhidi ya timu zilizochini kwenye rank
Hakuna timu yenye udogo km ile zalan
 
Wivu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…