Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

Halafu watu wenye vichwa kama chako huwa wana bahati sana ya kuonekana na hata kupewa teuzi nyeti sijui kwanini .
Yaani unataja timu dhaifu zilizocheza na Yanga halafu huitaji Simba
 
Saww huyo yanga mbovu wew hua anakuhonga kiasi gani cha hela mpaka amekufunga mechi 3 mfululizo?
 
Saww huyo yanga mbovu wew hua anakuhonga kiasi gani cha hela mpaka amekufunga mechi 3 mfululizo?
Hapo sasa wewe haujawahi kusikia tuhuma ya akia Inonga,Chama,Manaula,Kennedy na maleke kuwa ni maduka ya yanga?najua utabisha endelea kubisha
 
Wewe unadhani CBE ni timu dhaifu?
 
Sasa kama Yanga wamehonga vipi kuhusu Al Ahly? aliyepangiwa Gor Mahia ya Kenya yimu dhaifu kabisa?
 
Maneno ya mkosaji!

Ho Yangaaa Go πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Cc Smart911
 
🀣🀣 hii siku nilishangaa kuona makolo wamefurahi kupangiwa na Al Ahly kana kwamba ni team mbovu ivi wanaimudu matokeo yake walikandwa nje ndani
 
Kapigwa na timu dhaif
 
Nilichogundua Hatuna Timu ya kuvuka robo Fainali. Dah! Nilimcheki Sakoo Far Jamaa anaubondaaa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…